True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Haaaaa haya madude nimeyapiga mara mbili......experience ni hatari.
 
Nimeona nilete hii experience kwenu wanazengo hasa ningependa kusikia kwa waliyoyapita kama mimi experience zao na wakatoboa ili kunipa moyo, niamini siku 60 majibu yatakuwa haya haya negative na hata siku ya 90.
Kula maisha.

Ishi kama vile mwanzo tu.

Yaani hata kama usingekimbilia sijui ma Pep sijui ma nini. Ulikuwa salama kuliko kawaidaa!

Ona mtoto umemlia home kwa utulivu mwanana sio vichochoroni. Mtoto alilainika barabara kabisa kwa msosi na wine. Kwa hiyo utelezi ulikuwa utelezi kweli literally. Ondoa shaka.

Lakini pia hata kama ingekuwa sio hivyo. Hivi unafahamu bro kwamba kisayansi na kitakwimu (statistically speaking);
Mwanamke ana hatari ya kuambukizwa ukimwi akifanya mapenzi na muathirika mara karibu alfu moja basi ana hatari moja.(1:1000 encounters!).

Sasa huyo ni mwanamke, kwa mwanaume hatari inapungua mara mbili yake. Yaani akifanya mapenzi na muathirika mara alfu mbili ndio ana hatari moja. Risk in males is 1:2000 sexual encounters.

Ni kazi sana kupata ukimwi kwa normal natural heterosexual encounter. Narudia, ni ngumu sana watu kuambukizana ukimwi kwa ufanyaji mapenzi wa kawaida baina ya MWANAUME na MWANAMKE.
 
Ndipo panaponitisha, ila aisee nilijihakikishia kuwa sikuchubuka

1. Huwezi kukaa mwaka mzima hujalala na mwanamke bao la kwanza upige 1 hour, hata kama wewe ni mbwa.

2. Wanawake wachache sana wanaweza kuliwa kwa saa zima, na hata wanaume, labda proffesional, may be, but siamini.

3. Pengine una ka story, ila hii story yako ina uongo mwingi sana, sana, kwa nini msisemage tu bi story mpaka muweke neno true story?
 

Iyo haina shida kabisa kwa kuwa umewai PEP upo safe kabisa usiwe na wasi ata kidogo
 
Relax ARV Zipo utadunda tu
 
Insult me not my parents. 🀣🀣 you are so wrong keep insulting me and I pray that you get HIV from your unprotected sex
if you don't get this time you will get it from your womanπŸ˜€
Who do you pray to? Maana Mungu huwa hagrant wishes na maombi ya namna hii.

Actually haya yanaweza kutoboa kidoogo kama yakiwa manuizi kwa foreparents yaani mizimu(na wao inaweza goma maana hupenda haki, umeonewa etc), ila kwa Mungu no.

Ombi kwenda kwa Muumba wa vyote ni lazima liwe kwa faida ya wote bila kupendelea au kuiba haki ya upande wowote.

Careful, bandugu msije kujikuta mnapray direct kwa shetani bila kujua!!🀯.
 
You people don't have sense of humor at all. Yan you can't tell a joke from something serious at all. .
 
πŸ˜€πŸ˜€ I am still counting on your downfall. HIV or AIDS here cometh. I am not scared but you buddy will be soon gone πŸ˜› by battling HIV badly The wisest dude here didn't remember to wear protection and now he is dying of AIDS.

mshahara wa dhambi ni mauti 😜
 
Mkuu ukiona mabega yaananza kupanda na nywele zinaakatika naomba tafutie connection ya kazi kabla hujazidiwa
 
Kuna game zingine huwa zinatokea ...mtoto mkaliu mpka unasahau kinga
Dun kuuza mechi hapana hata awe mkali kiasi gani kupima kwa macho siwezi bora huo utelezi niukose. Vizuri vina gharama zake.
 
My friend, you are such a psychopath, who told you I am battling AIDs!!? FYI I am still Negative at day 30 and will remain the same for the rest of my life. You wish me death!? Don't let me say a word maana unaweza ukatoka hapo ghetto kwako mda huu na ukagongwa na bodaboda leo hii hii ukachomoka!!🀣🀣
 
Tell him brother, mwambie huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…