True story

Hii taarifa niliiona Muda kidogo kwenye media za online

Naona umeanzisha uzi hapa kupata airtime.

Okay karibu Sana ushuani huku wote tunaskuma magari jitahidi upate lako.
 
Nimesoma kwa shida mpaka nahisi pumzi inakaribia kukata
 
Jinga kabisa, unazaa watoto wa nini na hujui mpangilio wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…