TrueStory: Jamaa kaoa, kapost picha, KAJUTA!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hii imetokea nchini Kenya.

Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari.

Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha akiwa faragha na mke wa jamaa wakiwa watupu.

Taarifa zisizo rasmi ni kwamba jamaa amezua timbwili kwa mke wake.
 
Bila picha huu uzi ni chai.
 
Vipi kama ni photo shop

Katika dunia ya leo yawezekana yote yakawa sawa.

Ila why watu wanapenda kuishi mitandaoni?
 
Kwa hiyo ukaamua kuposti bila kutuwekea picha
Your browser is not able to display this video.
 
We jamaa kila siku hizi ndio stori zako
 
Nick odhiambo huyo.Huyo mtangazaji kajichoresha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…