Trump adokeza kwamba kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok

Trump adokeza kwamba kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok

Taarifa hiyo kutoka Reuters inasema kuwa Trump amesema kwamba Microsoft iko kwenye mazungumzo ya kununua Tiktok na kwamba angependa kuona kampuni nyingi zaidi za Marekani zinajitokeza kutaka kununua Tiktok.

Trump alisema wiki iliyopita kuwa alikuwa katika mazungumzo na watu kadhaa kuhusu unuzi wa TikTok na kwamba huenda atakuwa na uamuzi juu yaTiktok ndani ndani ya siku 30.


micti.png
=================================================================

U.S. President Donald Trump told reporters on Monday that Microsoft (MSFT.O), opens new tab is in talks to acquire TikTok and that he would like to see a bidding war over the app.

Microsoft declined to comment. TikTok and ByteDance did not immediately respond to Reuters' requests for a comment outside regular business hours.

TikTok, which has about 170 million American users, was briefly taken offline just before a law requiring its Chinese owner ByteDance to either sell it on national security grounds or face a ban took effect on Jan. 19

Trump, after taking office on Jan. 20, signed an executive order seeking to delay by 75 days the enforcement of the law.

Trump said last week that he was in talks with multiple people over buying TikTok and would likely have a decision on the popular app's future in 30 days.

The U.S. president has previously said that he was open to billionaire Elon Musk buying the social media app if the Tesla (TSLA.O), opens new tab CEO wanted to do so. Musk, however, has not publicly commented on Trump's offer.

Source: Reuters
 
kwani marekani anashida gani na tiktok
 
Back
Top Bottom