Smoking gunKaamua kutengeneza smoke screen
We mlokole na vi habari vyako kutoka kwa njozi za mchungaji wako wameuwa viongozi wangapi Vip kuusu Barua ajaandika nyengine ya onyo kali kali zaid !!!!Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa kasi. Mashambulizi yetu yataendelea hadi yasiwepo matishio tena kwa Uhuru wa Urambazaji. Chaguo la Houthis liko wazi: Waache kushambulia meli za U.S., nasi tutaacha kuwashambulia. Vinginevyo ndiyo kwanza tumeanza, na maumivu ya kweli bado yanakuja kwa magaidi Wahouthi na wafadhili wao nchini Iran.
Smoke screen... maana pana mengi yanaendelea dhidi ya USA, japan,korea kusini na nani sijui wameamua kuungana na china kupambana na vikwazo vya marekani,huku anataka ongeza mihula mitatu,kule kapoteza washirika ulaya,anahaha kutengeneza positive newsSmoking gun
Source please😎😎😎Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa kasi. Mashambulizi yetu yataendelea hadi yasiwepo matishio tena kwa Uhuru wa Urambazaji. Chaguo la Houthis liko wazi: Waache kushambulia meli za U.S., nasi tutaacha kuwashambulia. Vinginevyo ndiyo kwanza tumeanza, na maumivu ya kweli bado yanakuja kwa magaidi Wahouthi na wafadhili wao nchini Iran.