Trump akamata magari 1000 bandarini

Trump akamata magari 1000 bandarini

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi.

Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha mwenye magari hayo anafika whitehouse kujieleza kwanini asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi iliyo Chicago

Maelezo zaidi yatafuata.
 
Mkuu, tena nimesikia kati ya hayo magari 1000, magari 400 yaliandikwa jina la Mike Pence kuwa ndio kayaagiza!
 
Ameagiza mamlaka ya bandari Kufumuliwa papo hapo.Wamewajibishwa walinzi wote na mkuu wao kapigwa chini..safii sana Trump!
 
wakati huo huo Seneta wa Jimbo la Philadelphia Jana alishiriki Mazishi ya Mbwa wa seneta Mwenzie wa Miami alieuwawa na Serikal ya Trump kwa kukataa kwake kurudi Republican!
 
trump hana muda mchafu huo, zipo mamlaka husika zinazo shughulikia mambo hayo
 
Back
Top Bottom