Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi.
Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha mwenye magari hayo anafika whitehouse kujieleza kwanini asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi iliyo Chicago
Maelezo zaidi yatafuata.
Bora ungepita kimya kimya!wakati huo huo Seneta wa Jimbo la Philadelphia Jana alishiriki Mazishi ya Mbwa wa seneta Mwenzie wa Miami alieuwawa na Serikal ya Trump kwa kukataa kwake kurudi Republican!
Bora ungepita kimya kimya!
Kwani hujaona nilivyo ku joke?Hili ni Jukwaa la Jokes tuliza Kipochi Manyoya chako!