Trump akataa kujibu swali kuhusu mapigano DRC

Trump akataa kujibu swali kuhusu mapigano DRC

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.

Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini sasa sio wakati wa kuyazungumzia.

Indeed like swala halimhusu Trump.

Waafrika walijadili Hilo swala halafu waseme wanataka msaada Gani kutoka kwa Trump.

Ni suala halimhusu Trump au Putin au Xi Jinping.
 
Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.
Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini sasa sio wakati wa kuyazungumzia.
Indeed like swala halimhusu Trump.
Waafrika walijadili Hilo swala halafu waseme wanataka msaada Gani kutoka kwa Trump.
Ni swala halimhusu Trump au Putin au Xi Jinping.
Kwanini lisimuhusu na serikali ya marekani imewekeza fedha kule Lobito Ili kurahisisha biashara huko congo? Wanachukua madini huko kibiashara
 
Ila idara zote za usalama Rwanda wako very disciplined nidhamu ya hali ya juu kuanzia physical appearance na body languages.
Hamna chochote wapumbavu TU wale.
Physical appearance ni kwasababu wale ni warefu na wembamba in nature, ni kama majority ya wamasai au wamang'ati TU.
Sisi tuna miili mikubwa yenye nguvu. Mimi siendi gym na ngumi siwezi ila kukiwa na ugomvi usikubali nikukumbe. Nitakukumba kama Tinga tinga..... Kama kwenye mieleka, yaani nikikuweka begani kwangu umekwisha.
So, sisi na miili yetu hii usiseme hatupo fiti. Tupo fiti na miili yetu ya kibantu.
 
Back
Top Bottom