Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wanamuogopa kagameSADC watalimaliza
Hahah kwamba akina trump wanaogopa kipondo cha kagame?Wanamuogopa kagame
SADCHahah kwamba akina trump wanaogopa kipondo cha kagame?
Ila idara zote za usalama Rwanda wako very disciplined nidhamu ya hali ya juu kuanzia physical appearance na body languages.Wanamuogopa kagame
Kwanini lisimuhusu na serikali ya marekani imewekeza fedha kule Lobito Ili kurahisisha biashara huko congo? Wanachukua madini huko kibiasharaIlikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.
Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini sasa sio wakati wa kuyazungumzia.
Indeed like swala halimhusu Trump.
Waafrika walijadili Hilo swala halafu waseme wanataka msaada Gani kutoka kwa Trump.
Ni swala halimhusu Trump au Putin au Xi Jinping.
Ukiona mtu anashabikia vita, hajui madhara yake
Hao wameshashindwaSADC watalimaliza
Hamna chochote wapumbavu TU wale.Ila idara zote za usalama Rwanda wako very disciplined nidhamu ya hali ya juu kuanzia physical appearance na body languages.