Parody
Member
- Sep 13, 2020
- 24
- 69
Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani ataendelea kucheza zaidi maana amepumzishwa majukumu ya White House.
(Picha na AP)
(Picha na AP)