Trump alikuwa akicheza gofu wakati Biden alipotangazwa mshindi!

Parody

Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
24
Reaction score
69
Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani ataendelea kucheza zaidi maana amepumzishwa majukumu ya White House.
(Picha na AP)

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Akacheze Gofu huko nyumbani kwake...
 
Keneth Kaunda alikuwa anacheza Golf wakati Tume ya Uchaguzi Zambia inamtangaza Hayati Fredricj Chiluba kuwa Rais wa Zambia 1991

Viongozi wengi Africa walijifunza kwa makosa hayo ya Kaunda
 
COUPLING STRATEGIES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…