Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria.
Kauli hiyo ilinukuliwa na kurushwa na vyombo vikubwa vya habari ikiwemo CNN na ABC.
Ili kuthibitisha kauli ya Trump kuwa ni ukweli, kuna emails za Hillary clinton zilidukuliwa na mojawapo ya email ya Hillary inasema kuwa AL-QAEDA ni washirika (ally) wa Wamarekani huko Syria.
Hii inaonyesha kuwa siyo tu kwamba Marekani ni taifa lenye mbinu chafu lakini limekuwa ni mzizi wa ugaidi duniani, ambapo limekuwa likiasisi vikundi vya kigaidi halafu kusingizia wengine kuwa ni magaidi.
Ifahamike pia Serikali ya Marekani chini ya Ronald Reagan imewahi kushutumiwa vikali kwa kuendesha operesheni ya kuuza madawa ya kulevya kwenye mitaa ya watu weusi huko marekani ili kupata pesa za kifinance vita zake dhidi ya Sandinistas huko America ya kusini. Ishu hii inafahamika kama Iran-Contra affairs, ambapo CIA ilikuwa inauza madawa ya kulevya, kisha kutakatisha hizo pesa kwa kuizia silaha Iran (ambaye alikuwa ni hasimu wao) kisha pesa zinazopatikana zinenda kusaidia waasi wa sandinista.
HAPA CHINI UNAWEZA KUMSIKIA TRUMP AKISEMA OBAMA ALIANZISHA ISIS
View: https://www.youtube.com/watch?v=EzhCjC6NxPE&ab_channel=ABCNews