Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Huyu bwana Trump Rais wa marekani wakati wa kampeni zake kabla hajawa Rais wa marekani mara kadhaa alikuwa akisema ataiwekea China tarriffs za 60% kwa bidhaa zote zitokazo China.
Jambo la kunishangaza ameweka 10% tu tofauti na alivyokuwa akitamba mara tu atakapo ingia ikulu ni nini kimetokea mpaka bwana huyu kupiga u-turn kali na kuweka asimilia ndogo tu tena kwa baadhi ya bidhaa ?
Tofauti kabisa na mwenzake China kajibu mapigo kwa kumlima 15% sasa sielewi huyu bwana DT zilikuwa tu sifa za kusaka kura ama nini ?