Maneo bila video ni umbea tu.Huyu bwana Trump Rais wa marekani wakati wa kampeni zake kabla hajawa Rais wa marekani mara kadhaa alikuwa akisema ataiwekea China tarriffs za 60% kwa bidhaa zote zitokazo China.
Jambo la kunishangaza ameweka 10% tu tofauti na alivyokuwa akitamba mara tu atakapo ingia ikulu ni nini kimetokea mpaka bwana huyu kupiga u-turn kali na kuweka asimilia ndogo tu tena kwa baadhi ya bidhaa ?
Tofauti kabisa na mwenzake China kajibu mapigo kwa kumlima 15% sasa sielewi huyu bwana DT zilikuwa tu sifa za kusaka kura ama nini ?
Japo ni nafuu kwa bei lakini nyingi sana ni feki, nimewahi kuishi Marekani na ninaongea kwa uzoefu.Anaogopa imported inflation anajua hawezi kuzikimbia bidhaa za China
Lijinga sanaWenda maana huyu bwana ni mkurupukaji mkubwa
Bidhaa gani ?Japo ni nafuu kwa bei lakini nyingi sana ni feki, nimewahi kuishi Marekani na ninaongea kwa uzoefu.
Bidhaa za Japan, Korea Kusini, Taiwan, Mexico na Brazil zinazosafirishwa kwenda huko ni bora zaidi kuliko za China ila za kichina bei ziko chini.
Taarifu zitalipwa na wa marekeni wenyewe usa hawana compititive economic advantage maana wao sio industrialiazed country labda silaha pekee yakeHuyu bwana Trump Rais wa marekani wakati wa kampeni zake kabla hajawa Rais wa marekani mara kadhaa alikuwa akisema ataiwekea China tarriffs za 60% kwa bidhaa zote zitokazo China.
Jambo la kunishangaza ameweka 10% tu tofauti na alivyokuwa akitamba mara tu atakapo ingia ikulu ni nini kimetokea mpaka bwana huyu kupiga u-turn kali na kuweka asimilia ndogo tu tena kwa baadhi ya bidhaa ?
Tofauti kabisa na mwenzake China kajibu mapigo kwa kumlima 15% sasa sielewi huyu bwana DT zilikuwa tu sifa za kusaka kura ama nini ?
Unajua maana ya fake? Hizo bidhaa za Mexico zinazoenda Marekani nyingi zinaingia Marekani kupitia Mexico kama third partyJapo ni nafuu kwa bei lakini nyingi sana ni feki, nimewahi kuishi Marekani na ninaongea kwa uzoefu.
Bidhaa za Japan, Korea Kusini, Taiwan, Mexico na Brazil zinazosafirishwa kwenda huko ni bora zaidi kuliko za China ila za kichina bei ziko chini.
Upo sahihi, bidhaa nyingi zinazotoka Mexico kuingia US zinatoka kwenye viwanda vya wachina vilivyopo MexicoUnajua maana ya fake? Hizo bidhaa za Mexico zinazoenda Marekani nyingi zinaingia Marekani kupitia Mexico kama third party
Naona hujanielewa na hata ulichokiandika hakieleweki sawasawa.Unajua maana ya fake? Hizo bidhaa za Mexico zinazoenda Marekani nyingi zinaingia Marekani kupitia Mexico kama third party
Umeeleweka ndio maana umejibiwaNaona hujanielewa na hata ulichokiandika hakieleweki sawasawa.
Kwahio Bei za china kuwa chini huko Marekani ndio sababu za kuwa ni bidhaa fake?.Japo ni nafuu kwa bei lakini nyingi sana ni feki, nimewahi kuishi Marekani na ninaongea kwa uzoefu.
Bidhaa za Japan, Korea Kusini, Taiwan, Mexico na Brazil zinazosafirishwa kwenda huko ni bora zaidi kuliko za China ila za kichina bei ziko chini.