Trump amechomoa betri ghafla, serikali za Afrika zenye viongozi walioshindwa kutumia rasilimali za nchi zao hawajui nini wafanye

USAID waliouleta umeme kwenye miili yenu miaka kadhaa iliyopita kule Kagera, wamegomea kuwaletea pesa na madawa sababu wamegundua kuna wahuni wanazibungunyua hizo pesa tofauti na maelezo na maelekezo yao, unatoa huku unapeleka kule halafu sifa zote anapewa fulani pongezi zote kwa Muheshimiwa ila wao wanaonotoa misaada hio ya pesa kibao hawapewi sifa zozote wanaonekana manyang'au tu
 
Raslimali moja tu ya wilaya moja nchini inaweza endesha nchini.
Mfano madini tu ya wilaya ya Ulanga na Tunduru ndio yanakuza uchumi wa nchi ya Thailand na Sri Lanka wanayachukua wanayaprocess wanauza ulaya kwnn sisi tusiprocess wenyewe tuuze nje
Kawaulize uliowapa dhamana ya kukuongoza, na ukiwa mtu km wewe umeshika usukani wakikushtukia wanakuua
 
Kuishi kwenye nchi ..kiongozi wake ana penda kifo cha mende na Doggystyle..kutoboa ningumu
 
Nisawa na kupeana ze utamu halafu wakati wa kujifungua unaisumbua serikali kuhusu gloves, (kinga ya mikono)

Vile vile ni kukosa uzalendo kwa serikali kukopa trilioni 2-5 kwa riba kwa maana ni pesa ndogo ambayo serikali inaweza kuipata kwa muda mfupi toka vyanzo vyake vya mapato

Mikopo mingi haina tija kwa taifa mingi huwa haina uharaka unabaki kushangaza tu
 
Mifumo yangu ya maisha haiwategemei wao nawaharumia wenzangu
Sasa ndio maana nimekwambia wakiona mtu km wewe umeshika usukani umeplan kuwanyanyua watu wa chini na kuwaweka juu wanakufyeka wanataka hawa watu wa chini waendelee kubakia huko huko chini wasipate uhafadhali wowote, ndio maana Marekani kakunja ndita
 
Raslimali moja tu ya wilaya moja nchini inaweza endesha nchini.
Mfano madini tu ya wilaya ya Ulanga na Tunduru ndio yanakuza uchumi wa nchi ya Thailand na Sri Lanka wanayachukua wanayaprocess wanauza ulaya kwnn sisi tusiprocess wenyewe tuuze nje
Juzi kati tu nilikuwa naongea na Mh.Almas kuhusiana na hii issue.
 
Haya malalamiko ndio yamemfanya Trump azuie pesa siku 90, pesa zote wanazotoa wanapeleka wapi? Piga komeo watoe maelezo ya kutosha
 
Ila hiyo executive order ya Trump imepelekwa Mahakamani,sidhani kama itafanya kazi.
 
Juzi kati tu nilikuwa naongea na Mh.Almas kuhusiana na hii issue.
Wilaya masikini lakini tajiri watu wamejenga juu ya madini na hawajui thamani ya madini ukimpa laki 3 mchimbaji anakuona waziri wa fedha we unachukua 20m kwa msrilanka wao wanakwenda piga 400m ulaya
 
Haya malalamiko ndio yamemfanya Trump azuie pesa siku 90, pesa zote wanazotoa wanapeleka wapi? Piga komeo watoe maelezo ya kutosha
Neti za mbu hata wao wanaziona kwenye mtandao zinatumika kuvulia samaki na kufugia kuku

No value for their money
 
Neti za mbu hata wao wanaziona kwenye mtandao zinatumika kuvulia samaki na kufugia kuku
Zimezagaa huko machakani mpaka basi ila achana na hayo manet ya geresha kuna Noti au pesa huwa wanatoa sasa hizo ndio zimeleta mgogoro hapo kati maana sasa huduma itakua zero, ntakupa kitu mhudumu wa hospital kumuhudumia mgonjwa mmoja wa HIV ni big deal waliofanya hivyo ni wamarekani ndio maana unaona Ukimwi umetulia
 
Na zile sbb 3 walizotoa kuwa baada ya mapitio wanaangalia sion nchi ambayo Ina fit in
SS tutaamua kuendelea kununua V8 au kuwahudumia wananchi
 
They killed him.. na wakashingilia na baadhi ya wajinga wenzao sasa hata wao wataya miss maono yake. na huu ndo ulikuwa muda wa maono yake kufanya kazi.
wacha iendelee kunyesha tuone pavujapo.
Very true
 
Na zile sbb 3 walizotoa kuwa baada ya mapitio wanaangalia sion nchi ambayo Ina fit in
SS tutaamua kuendelea kununua V8 au kuwahudumia wananchi
Huu unaitwa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Shida hapa ni mwafrika sio mzungu
Haya Trump huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…