ni jambo jema maana walifanya assessment wakaona kujamiiana ni hitaji la mwili wabinadamu na haliepukiki hata kama watu wapo vitani ,lakini usiku watu watakuwa wakiviziana ili kutimiza hitaji hili la kibaiologia. Sasa sababu watu wapo kwenye disruption ya makazi pamoja na familia inawezekana watu wakafanya ngono na multiple partners ikawa chanzo cha kuambukizana stds na kupeana mimba. Ingawa likaonekana Kama jambo la kipuuzi lakini ukifikiria katika upeo wajuu utaoona ni kwania nzuri serikali ya biden ili kusudia