Ili kunogesha siasa za nchi yetu nashauri wanasiasa wote ndani ya CCM na nje ya CCM wanaoona wanaweza kuwa marais wa nchi watangaze mapema waanze kujijenga na kutoa sera zao mbadala mapema.
Watu wasikubali kufungwa midomo. Trump ameshaanza marekani wakati uchaguzi ni Nov 2024 na hapa kwetu hadi mwakani ni vyema tukawatambua wote wanaotaka Urais.
Anzeni kwenye vyama vyenu wakizingua mnaunda coalition nje ya vyama vyenu