Naendelea kujifunza tabia za binadamu.
Haijafika siku kuanza kushangilia mtu anayeshambuliwa hasa hasa hawa wanasiasa, huwa navuta subra, maana hata wakati ule Bim anaingia baada ya legend (jeshi la mtu mmoja) kufariki.
Humu humu JF kulikuwa na vigeregere ila leo wengi wamekuwa wapole sana.
So hata hii movie ni kutulia tu, maana wanasiasa siyo wa kuwaamini.