Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mara baada ya kuapishwa alitishia kuimiki Green Land na mfereji wa Panama huku akiwatishia amani Canada na Mexico zinazopakana na Marekani.
Kwa upande wa Palestina amewatishia amani vibaya wapiganaji wa Hamas kama waisngeachia mateka wote kufikia Jumamosi iliyopita na si kwa mujibu wa mkataba wa kusitisha vita tu.
Hamas kwa upande wao hawakutikisika na vitisho hivyo na wameendelea kuachia mateka kulingana na ratiba zao.