Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mkuu zilipendwa, kwa sasa ujanja hana.Huwa mnawachukulia wa ajemi kirahisi sana ,kumbukeni muajemi alisha kuwa empire yenye kuliko zote duniani.
Iran ndio mbabe anaweza kuitikis a marekani kwa sasa , ujanja upi hana labda?Mkuu zilipendwa, kwa sasa ujanja hana.
Hayo mapenzi yako kwa Iran siyakatai, tubaki na ukweli, Iran aweza kuiwekea vikwazo Marekani?.Iran ndio mbabe anaweza kuitikis a marekani kwa sasa , ujanja upi hana labda?
Kaka ukute unaizungumzia Us kutokea narumu madukani😁😁😁Sikukatalii ni mapenzi yako kwa Iran, Iran aweza kuiwekea vikwazo Marekani?.
😀😀😀 Mkuu Narumu madukani ni wapi huko maana mi sipajui?Kaka ukute unaizungumzia Us kutokea narumu madukani😁😁😁
Huko Machame mkuu😀😀😀 Mkuu Narumu madukani ni wapi huko?
Labda we ndio wa Machame sokoni pale Msikitini wa Kalali.Huko Machame mkuu
Mimi kirima, machame nndonga bi mkubwa tuLabda we ndio wa Machame sokoni pale Msikitini wa Kalali.
Pale soko la Maromboso eee.Mimi kirima, machame nndonga bi mkubwa tu
Mimi nasema ukweli ,katika taifa lenye nguvu na tishio kwenye medali ya kivita na akili kubwa Iran 🇮🇷 hawakosekani.Mi home Narumu-Usari, kwa sasa mishe Moshi town, kama vipi njoo hapa Moshi Pazuri Bar.
Usitegemee yaliyotokea Iraq yatatokea Iran, miaka ile siasa za US zilikuwa na ushawishi mkubwa hivi sasa hata baadhi ya nchi za EU hawaizingatii US.. mmeshhudia hata suala la Trump kupandisha tariffs kwa nchi za EU, Canada n.kIshu hapa ni vukundi vinavyoitwa vya kigaidi vinavyodhaminiwa na iran ambavyo ndio chanzo cha Gaza Lebanon kuchafuliwa kwa mabomu, Iran aache hawezi kuwashinda hawa watu, la sivyo Tehran itachafuliwa like Iraq, atulie aache mihemko hawa watu hawawezi