Trump amteua Matt Gaetz ambaye alikuwa ana kesi ya udhalilishaji wa kingono kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.

Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.

Screenshot_20241114-075328_X.jpg
 
What if kama ilikuwa political sababu walijua akiwa Attorney General ataenda kufichua ishu za capital hill, ambaye sasa inaonekana Pelosi alii inginea na sio trump
 
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.

Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.

View attachment 3151810
Uzuri ni mtuhumiwa. Hajahukumiwa.

Yeyote anaweza kutuhumiwa
 
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.

Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.

View attachment 3151810
Mtoto ni wachini ya miaka 10 kuanzia kumi hadi 14 ni kijana mdogo kuanzia 14 kuja juu huyo ni kijana kamili...hivyo trump yupo sahihi kabisa ...hizo sheria za kianithi zinazo mbana mwanaume na kusababisha ushoga kuongezeka bora zifutwe...
 
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.

Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.

View attachment 3151810
Kwani kutuhumiwa ni kosa? Ila Yoda hua una issue binafsi na wanaopinga mapenzi ya jinsia moja, whats up?
 
Yaani wamarekani wenyewe watatia akili kwanini walimpa huyu jamaa, na Trump hapepesi macho atafanya uhuni wa nguvu sana kuwakomoa kina Kamala na Biden na Democratic
 
Back
Top Bottom