Japo sio shoga tunashukuli Tramp awezi kuchagua majingajingaHuyu jamaa hana ka uyahudi fulani hivi ? Maana hilo jina la pili si geni kwangu
Uzuri ni mtuhumiwa. Hajahukumiwa.Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.
View attachment 3151810
Mtoto ni wachini ya miaka 10 kuanzia kumi hadi 14 ni kijana mdogo kuanzia 14 kuja juu huyo ni kijana kamili...hivyo trump yupo sahihi kabisa ...hizo sheria za kianithi zinazo mbana mwanaume na kusababisha ushoga kuongezeka bora zifutwe...Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.
View attachment 3151810
Kwani kutuhumiwa ni kosa? Ila Yoda hua una issue binafsi na wanaopinga mapenzi ya jinsia moja, whats up?Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na Republicans wamelalama kwa uteuzi huo.
View attachment 3151810