Trump amuomba Putin awasamehe wapiganaji wa Ukraine

Mwenye tochi USA kamulika kaona jamaa wamewekwa kati, Fala zele anayemulikiwa anabisha...dogo chizi mno
 
Putin anapiga propaganda sana, Ukraine wako vizuri sana ndio mana Zelensky bado anataka mzigo upigwe Trump ndio kauzibe hana mpya mara leo hivi mara kesho hiv
View attachment 3271153
Ukraine chokaaa, Trump amemwambia zele your not winning, na yeye Trump kwenye tochi yake kaona madogo wamezingirwa...cha ubishi anasema hakaa
 
Ukraine chokaaa, Trump amemwambia zele your not winning, na yeye Trump kwenye tochi yake kaona madogo wamezingirwa...cha ubishi anasema hakaa
Kyiv wamekataa kuzingirwa ni uongo au unapata shida kufahamu Kiingereza

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…