Trump, anamwambia Zelensky nitakusaidia kuimaliza hii vita kwa makubaliano maalum ya $500 Bilioni

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine
Screenshot_20250222-092121.png

KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa hilo la Ulaya, siku tatu tu kabla ya kumbukumbu ya tatu ya uvamizi kamili wa Moscow.

Maelezo kamili ya makubaliano hayo ya awali hayakuwa wazi mwishoni mwa Ijumaa, lakini mbinu ya "good-cop, bad-cop" inayotumiwa na Rais Trump na mjumbe wake maalum, Jenerali mstaafu Keith Kellogg, ilisaidia kuziba pengo kati ya Washington na Kyiv.

Kellogg, anayeaminika kuwa mmoja wa maafisa wachache wa utawala wa Trump wanaomuunga mkono bado Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, alianza safari yake ya siku mbili kurudi Marekani bila kuthibitisha makubaliano ambayo Ikulu ya White House imekuwa ikiyashinikiza sana — lakini maafisa wa ngazi za juu katika serikali ya Zelensky wanayaona kama aina ya unyang'anyi wa kidiplomasia.

"Mkataba wowote unaoweza kufikiwa lazima uwe wa manufaa kwa pande zote," msemaji wa ofisi ya rais wa Ukraine aliisisitizia The Post.

Hata hivyo, muda mfupi baadaye, Trump alitangaza katika Ikulu ya White House kwamba Marekani na Ukraine walikuwa "wakitia saini makubaliano, tunatumaini katika kipindi kifupi kijacho."

Source New York Post

Soma pia: Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!
 
Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine
View attachment 3245085

"Mkataba wowote unaoweza kufikiwa lazimaT uwe wa manufaa kwa pande zote," msemaji wa ofisi ya rais wa Ukraine aliisisitizia The Post.

Hata hivyo, muda mfupi baadaye, Trump alitangaza katika Ikulu ya White House kwamba Marekani na Ukraine walikuwa "wakitia saini makubaliano, tunatumaini katika kipindi kifupi kijacho."

Source New York Post

Soma pia: Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!
trump anatumia mbinu za kimafia. Zile za kusema yeye ndiye kaanzisha vita, ni dikteta ili akubali. Trump anacheza game kimafia. Same to musk
 
Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine
View attachment 3245085
KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa hilo la Ulaya, siku tatu tu kabla ya kumbukumbu ya tatu ya uvamizi kamili wa Moscow.

Maelezo kamili ya makubaliano hayo ya awali hayakuwa wazi mwishoni mwa Ijumaa, lakini mbinu ya "good-cop, bad-cop" inayotumiwa na Rais Trump na mjumbe wake maalum, Jenerali mstaafu Keith Kellogg, ilisaidia kuziba pengo kati ya Washington na Kyiv.

Kellogg, anayeaminika kuwa mmoja wa maafisa wachache wa utawala wa Trump wanaomuunga mkono bado Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, alianza safari yake ya siku mbili kurudi Marekani bila kuthibitisha makubaliano ambayo Ikulu ya White House imekuwa ikiyashinikiza sana — lakini maafisa wa ngazi za juu katika serikali ya Zelensky wanayaona kama aina ya unyang'anyi wa kidiplomasia.

"Mkataba wowote unaoweza kufikiwa lazima uwe wa manufaa kwa pande zote," msemaji wa ofisi ya rais wa Ukraine aliisisitizia The Post.

Hata hivyo, muda mfupi baadaye, Trump alitangaza katika Ikulu ya White House kwamba Marekani na Ukraine walikuwa "wakitia saini makubaliano, tunatumaini katika kipindi kifupi kijacho."

Source New York Post

Soma pia: Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!
Trump siyo Mwanasiasa na wala siyo Mwanadiplomasia, bali ni Mfanyabiashara
 
Kategwa kajaaa na sasa desperation yake imefikia pabaya atafanya chochote ili kichapo kisiendelee , and kumaliza vita nina uhakika 100% marekani atafanya diplomatic agreement na russia na hapa atakubaliana na matakwa ya urusi for mutual benefits

1. Ukraine atatakiwa kuondoa mawazo yoyote ya kujiunga NATO , hapa amani itapatikana maaana mrusi atasimamisha vita kwa sababu USA atakuwa hana envolvement yoyote directly or indirectly na hatokuwa na sababu yoyote ya kuweka base zake ukraine why USA atakubaliana na hili? Jibu ni kwenye makubaliano yake na ukraine 500Billion dollars deal , rare metal ?????

2. USA hata siku moja hawezi kupigana vita asivyofaidika navyo angalia nchi zote ambazo alikuwa envolved kuna faida fulani ila ukraine naona aim yake ilikuwa ni hiyo 50% , and once a clown always a clown zelensky clown mind yake ikamnyima kuelewa kinachoendelea .

Anyways MRUSI atabaki kuwa MRUSI ila ukraine ajiandae kwa kunyonywa haswaaaaa amemkataa ndugu wa karibu ambaye wangeeza kukaa chini na kuyajenga kaenda kwa mbwa mwitu mwenye njaa kali sasa anakiona HUYU JAMAA ANGEBAKI KUWA CLOWN TU, DIPLOMACY IS TOO MUCH OF A LOAD TO HIM , when he was playing checkers trump was on 4D chess.
 
Back
Top Bottom