Trump anaposema Mikataba ya Uwekezaji iwe Wazi Kwa Wananchi itatuhusu na sisi Africa Mashariki? Au ni kwa wenye Utamaduni wa Uwazi tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika furaha yake ya Ushindi wa Upinzani huko Ujerumani Trump anesema ni Wakati Sasa Mikataba ya uwekezaji ikawa Wazi Kwa Wananchi kama yeye anavyotaka Wananchi wa Ukraine wawe wanaelewa kila kinachosainiwa na Serikali yao

Je huo utaratibu siye weusi wa Africa tutauweza kweli?

Elon Musk tuhurumie kwakweli 🐼
 
Hivi we jamaa umewahi kubatizwa kweli!?
 
kwani na nyinyi mnajitambua?
Fikiria aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kapanda Cheo na Sasa anadai kakuta Chama hakuna Fedha kabisa

Sasa unajiuliza; Kakuta Wakati anatoka Wapi?

Chadema Kuna ubwege sana 😂
 
Back
Top Bottom