Katika furaha yake ya Ushindi wa Upinzani huko Ujerumani Trump anesema ni Wakati Sasa Mikataba ya uwekezaji ikawa Wazi Kwa Wananchi kama yeye anavyotaka Wananchi wa Ukraine wawe wanaelewa kila kinachosainiwa na Serikali yao
Je huo utaratibu siye weusi wa Africa tutauweza kweli?
Elon Musk tuhurumie kwakweli 🐼