Trump apewe nuclear codes

Angekuja kupinga.ila kakaa kimya ina maana anajua alichofanya.Mimi sioni kosa la jamaa.ana haki kulalamika.kama kukopi aende akakopi Google. Atuletee.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Johnsooooooon
[emoji119] [emoji119]
 
Muombe radhi.
 
Sina chuki yoyote usilete mapenzi kwenye maswala ya msingi ,
Mimi silali naye kitandani huyo kwamba kila anachosema lazima nikubaliane naye
Sikatai kutokukubaliana hilo ni jambo la kawaida ila hukubaliani nae kwa hoja gani?
Kwamba mimi ndiye ninayetumia ID yake?
Wanawake ndio wanaompa kiburi?
Usingeniingiza mimi katika malumbano yenu wala nisingekuquote.

Suala la mapenzi na kulala naye ni nje ya mada,excuse me.
 
Angekuja kupinga.ila kakaa kimya ina maana anajua alichofanya.Mimi sioni kosa la jamaa.ana haki kulalamika.kama kukopi aende akakopi Google. Atuletee.
Ujue hata the bold angenyamaza kama dogo alivo fanya angekuwa ame score big time, lakini reaction yake ndio imenishangaza kidogo.
Kwa kuwa wapo waliokwisha sema ni andiko la the bold tayari ilitosha
Ila sasa naye kaja kuanza kutoa povu hapo ndio yaan kanishangaza mpaka now.

Habari zenyewe za Nuclear ball ya US ndio wabongo hadi mnagombana!!. The bold ni mtu makini ila kwa leo sija muunga mkono reaction yake kabisaa!
 
Yoyote anayecopy andiko lolote bila acknowledgement ya mwandishi halisi , sio sawa ni kama Plagiarism tu

Copy (translation) - Copy (JF) hii yote ni plagiarism. , cha msingi sioni mjadala wa maana humu Bali kuumbuana tabia zenu

Nukuu ya Dr Mengi * Wanaokumbia wako nyuma yako ukigeuka huoni hata mmoja*
 
Sio Mara ya kwanza hii.watazoea.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umeongea la maana mkuu.
Though kuna tatizo, Ishu imekuzwa sana hii.
 
Sio Mara ya kwanza hii.watazoea.
Uzuri ni kuwa nyie the bold familly mpo, ikitokea tena mje hapa m clarify na kusema hii ni kazi ya ni the bold.
Pia the bold naye akiandika awe ana clarify katoa wapi info zake, yaan hii ishu itakuwa simple tu.
Uzuri mwandiko wa bold mi naujua nilipo isoma tu info nilijua yake. Lakin content ni public kabsaa, nadhani mleta mada hakutaka ashindane na the bold ila alitaka tupate habari tu kama ilivyo ada ya jf.
 
Hakika hii thread imeumbua wanafiki wengi sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]
 
Hatukatai kama haya mambo yapo Google. Ila sio vizuri mwenzako akae aandike weww uje tu ulete humu.amekutuma!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…