Trump apewe nuclear codes

Umeelewa nilichoandika hapo lakini?

Ngoja nami niingie Google nitafute stori halafu niitafsiri halafu niilete humu ili nikupate wewe mchuchu [emoji39] [emoji39]
Niletee kule whatsapp
 
Tabia za kichokostiki mwanaume kumind vitu vidogo mbona wewe huwa huwapi credits zao huko kwenye sources za unapochukulia hizo makala kabla hujakaa chini na kuzitranslate before kuzileta huku Jf......

Jf ni uwanja mpana tufanye watu wazidi kuufanya kuwa mpana zaidi na zaidi
 
Pole braza na mi nilihisi.... haya ni mawazo yako kabiiisa the bold
 
[emoji23] [emoji23] Hata mimi nilikuwa namtani sana tu, lakini baada ya kuona nimekosa siti nilikubali kusubiri gari lingine nitakalokaa kwa kujinafasi, tatizo wenzetu wanakaa mbagala wao kuparamia madirishani hawaoni noma[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ! Its over jooh!
 
Na yeye si aende Google. Akachukue matirio.atafsiri.alete.kwani amekatazwa?sio unakurupuka tu.mwenzio amepigika huko kutafsiri na kuandika.we unaleta tu.umetumwaaa?
 
Na mimi unaweza kuniunga kwenye hilo group mkuu? Napenda sana makala zako
 
Na mimi unaweza kuniunga kwenye hilo group mkuu? Napenda sana makala zako
Bila shaka Mkuu..

Whatsapp me - 0718 096 811
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ! Its over jooh!
Khaaaaaa!! Tony hupo nyumba hii hii??

Shemeji yako ninavyotundikwa msalabani, mwanawane umejificha kama petro hahahahahahah

Itabidi nikupokonye dadangu Clkey bora tu aendelee kubaki na bab bite johnsonmgaya ushujaa wake kama steringi wa kihindi.. Mtu mmoja anachakza kijiji choteeeee peke yake hahahahahaha
 
Huna shemeji aiseee
Mm nmepata hasira tu ikanibidi kunyamaza mai kaka
 
Hahahaa! Nipo mkuu post # 96

Ilibidi niwe mpole kidogo baada ya kuona personal attacks zinazidi badala ya watu kufanya debate ya hoja, sasa ukizingatia mimi na nifah tumenyonya ziwa moja. Ningefanya vurugu sana humu

Lakini pia ni busara kuwa mkimya hasa unapoona kuwa watu wana jazba na wewe, wana wivu na chuki juu yako..

Unapaswa kutumia busara ! Wengi humu Jf hatufahamiani katika maisha halisi kuwa ila tumetokea kuwa marafiki humu kutokana na michango na mawazo ya wanaJf

Ni vizuri tukadumisha upendo huo.

Ushauri:

The bold wewe sio malaika hivyo kaa ukijua sio kila mtu anapenda unachofanya..

Mwisho: Naamini tofauti zenu zimeisha mkuu ! Na maisha ya Jf yanaendelea sasa.
 
Upo sahihi kabisaaa,hata mm niliamua kukaa kimya japo roho ilikuwa inaniuma
Wamemshambulia wifi yangu weeee ahaa basi tu ngoja niendelee kunyamaza
Halaf husband kumbe ukitulia unaandika vtu vya maana aisee
Km co ww vile
 

Well said.! Kabisa shemeji

Tofauti zishaisha toka Jana, maisha ya JF yanaendelea.. Kugoogle pia kunaendelea hahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…