Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Mkuu, the thing is mimi na wewe tunajua kuhusu mfano ishu 'A'. Wewe ukaifanyia kazi mfano deeper research, ukaitranslate na ukaipangilia na kuipost katika group lako la whatsapp or wherever.Mbona siwaelewi.........Mkuu kichakaa man kaweka post yake hapa..... lakini Mkuu The bold anasema atawatumbua wale wanaochukua post zake kwenye kundi lao..........Maana yake ni nini......? kwani ni wewe tu una uwezo na haki ya kuweka simulizi humu..........? kumbuka vitu kama hivi vipo tu na watu wengi wanajua ndio maana kuna hata na sinema.....Nao wasemeje Kwako....? si kila kitu unakijua wewe tu Pekee........!!!! wenzako wakisimulia jambo ambalo wewe unalijua unasema wemekopi kwako............acha hizo wewe.....acha kulewa sifa............Nitaacha sas kusoma post zako kama upo vivyo..........Tuonyeshe basi hapa JF wapi uliweka hii post.......? au unataka nasi tuje huko kwenye Group lenu sijui la nini.....???!!! Umeniboar sana.......
Mimi hapa Karucee nichukue makala yako 'A' niikopi na kuipesti tena word by word humu ama sehemu ingine ile kama vile ya kwangu. Na inajulikana kabisa ile makala ni ya kwako. Nitakua nimekutendea haki?
Kama na mimi najua chochote ningechangia makala yako kwa kuiongezea nyama, kuikosoa ama kui challenge. Am telling you ingekuwa tamu. Heated debates but intellectual ones.
I hope umeelewa. Samahani kwa kuboreka na ushinde salama.