comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Hii ya kwetu itakuwa ''THE NETBALL''
Una dhahani hasi sana niweke bifu na vivuli fake?Wewe utakuwa una bifu na jamaa tangu muda,sasa ulikuwa unamtafutia sababu umlipue.mwenzako ana lalamika kwa sababu.wewe hauna sababu ya kumlalamikia.anachodai ni haki yake.kama ni rahisi kuandika andika na wewe utuwekee tutasomaaa.
Ishu ya kumkosoa mtu pindi anapokengeuka ninafanya hivyo pale ninapoona kuna umuhimu na sii kwa sababu fulani naye anafanya hivyo.Naona mzee umeshikilia bango.kumlaumu jamaa.mbona mleta mada kanyamazaaaaa.anajua alichofanya sio kizuri.
Kwanza ujue inatakiwa tuwe na uhakika kuwa dogo kaitoa kwa the bold, je kama yeye alikuwa second hand!!? Kama naye alifowardiwa watsapp.Ishu ya kumkosoa mtu pindi anapokengeuka ninafanya hivyo pale ninapoona kuna umuhimu na sii kwa sababu fulani naye anafanya hivyo.
Ni sawa sawa na wewe unavyo komalia posts zangu, kwani wewe una husikaje kwa mfano?
Umenichekesha mkuu. Ndio wale wanaocopy na jina.Jibu rahisi tu mimi ndie niliependekeza hilo group liundwe ili angalau arosto ya kusoma ipungue coz kule anatoa 4episode kwa wiki, wakati huo hapa ile itaendelea kama ilivokuwa mwanzo tofauti ipo kidogo tu nyie mkiwa na ep 10 , sisi tuna 30 lakini mtatufikia Tu.
hata makanisani kuna VIPs wao wanapata huduma popote mchungaji anamfata wakati huo waumini wengine mnaendelea kumsubiri,
ukiandaa kitu kikaungwa na wengi matunda yake ndo haya wakuu jaribuni na nyie kucreate vitu kama hivi neema itawadondokea,
Haina haja ya mabeef kama watoto wa kike, hata mwalimu anapofundisha darasani huwa anatumia vitabu vilevile kama wengine wanavotumia lakini akifaulisha sifa zinamwendea yy peke yake badala ya waandishi wa hivo vitabu, kutransilate lugha hasa ya kiintelejensia au kidaktari ni shuhuli mkuu tusidanganyane,,,
NB:
nimecheka jamaa alivoanza eti nimetumia siku nzima kufatilia kiapo cha trump,
Hv wikipedia pia walianzia hapo???
Hahaha usikute hata king'amuzi chake hakijalipiwa hvo hakuona mubashara hilo tukio, ila kajitahidi kutoa sign ya The bold kule chini kabisa,Huyu dogo ni wenge yaani alivyo pimbi kai copy hivyo hvyo.....alivyoanza hapo mwanzo aise....utafikiri kama kweli aliangalia? hata hapa jf kuna wale VIP member na ndo wenye access ya kuingia majukwa maalumu zaidi.....kila mahali lazima kuwe na ma VIP
Dogo ningemuona mstaarabu kama angeomba msamaha tu yakaisha, na hao wanaotetea ujinga pia dahh!!! hadi aibuUmenichekesha mkuu. Ndio wale wanaocopy na jina.
CcThe Bold, Nifah.
Ndo maana nikakwambia wewe una bifu na jamaa ila ulikuwa unatafuta sababu.sioni sababu ya wewe kupayuka hivi.nadhani mleta mada angesema ametoa wapi!?lakini sio jamaa kudai haki take unaanza kumsema.sio fair.kama ni rahisi andika yako.Una dhahani hasi sana niweke bifu na vivuli fake?
Mtu akifanya utumbo huwa namchana hapo hapo na siyo kusubiri hadi nipate muda........ya nini kutembea na sumu wakati uwezo wa kuzitema upo?
Nyie wafuasi wake muwe mnamshauri pindi anapofanya mambo aliyoyazidi umri.
Sipendi kuona MTU akitetea haki yake.alafu kuna watu wanampinga.jamaa alikuwa sahihi kulalamika.kama mleta mada angeileta hii mada kwa kiingereza jamaa asingelalamika.ila jamaa amekopi kitu cha mwenzie.alaf amekaa kimya sio fair.Ishu ya kumkosoa mtu pindi anapokengeuka ninafanya hivyo pale ninapoona kuna umuhimu na sii kwa sababu fulani naye anafanya hivyo.
Ni sawa sawa na wewe unavyo komalia posts zangu, kwani wewe una husikaje kwa mfano?
Kavunja sheria za group la WhatsApp hairuhusiwi kusambaza post za hilo group. Pia amefanya makosa kwa kuanzisha mada bila kumrejea The bold kama mwandishi wa hiyo mada.Sheria za JF zinasema mtu anaruhusiwa kuanzisha mada bila kuvnja sheria, je mleta mada kavunja sheria ipi?
Hapana mkuu.jamaa ana bidii binafsi.na inapaswa iheshimiwe.haiwezekani jamaa kajitutumua kuandika alafu MTU anakuja tu kukopi na kuileta huku.bila idhini yake sio fresh.Kwanza mimi sina wivu na The bold namkubali
Lakin leo sija muunga mkono, kwani hizi info zipo hata wikipeidia na kwenye websites za congress au za ikula ya Marekani, na dogo alicho kosea ni kuto sema tu labda imetoka kwa the bold, ila otherwise hizo information ni za public, na acknowldge katumia muda wake kuziunganisha na kutafsiri but, kwa kuwa haja i publish popote, na hata yeye haja acknowldge source zake ni zipi, ni jambo la kawaida tu. Ingekuwa ni hadithi mnyama umejiumiza kuitunga hapo ningesema uko sahihi, au ungekuwa uli take time ukaenda US ukafanya uchunguzi hapo ningesema pia its a big deal.
Mbona watu wanatumaga makala za washington post humu au NY times Na hawasemi, hii jf ni public realm kama kuna knowldge wacheni watu tushare, labda tu anaye share aseme kaitoa kwako.
Halafu kwa the bold na mashabiki wake na wapenzi wake, the bold naye anaweza kukosolewa tu. Na si kila anaye mkosoa ni hater. Kubalini kushangiliwa na kuzomewa pia ndio life.
Naruhusu masahihisho.
Wewe mkuu ulizungukwa.demu na huyu jamaa nini??Ok sawa, kashalalamika na sasa hivi ni suspected kuwa huenda makala ni yake, kwahiyo nini kinafuata?..........Binafsi nadhani hakuna cha msingi zaidi ya kuanika utoto.
Hahahah haki ya Mungu watu wana maneno balaaDah huyu jamaa nilikuwa nimpa nafasi kubwa sana ya heshima ,unapewa Challenge kidogo unakuwa kama mwanamke bwana ,feelings za nini au anaye tumia hii ID yake ni Nifah ?
Kila information tunazo pata duniani someone somewhere alijitutumua ndio na sie tuka pata.Hapana mkuu.jamaa ana bidii binafsi.na inapaswa iheshimiwe.haiwezekani jamaa kajitutumua kuandika alafu MTU anakuja tu kukopi na kuileta huku.bila idhini yake sio fresh.
Kavunja sheria kule..hii habar haikupaswa kutokaSheria za JF zinasema mtu anaruhusiwa kuanzisha mada bila kuvnja sheria, je mleta mada kavunja sheria ipi?