Trump apunguza wafanyakazi wa USAID kutoka 10,000 hadi 300. Chama cha wafanyakazi serikali chafungua kesi mahakamani

Trump apunguza wafanyakazi wa USAID kutoka 10,000 hadi 300. Chama cha wafanyakazi serikali chafungua kesi mahakamani

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuvunja Shirika la Msaada wa Kibinadamu la Marekani (USAID) na kupunguza wafanyakazi, vyama vya wafanyakazi wa serikali nchini Marekani, vimewasilisha kesi mahakamani kuitaka kusitisha mpango wa kufungwa kwa shirika hilo, vikisema Rais Donald Trump hana mamlaka ya kuvunja idara ambayo iliundwa na Sheria ya Bunge.

Wafanyakazi wawili wa sasa wa shirika hilo na ofisa mmoja ambaye ni mkuu wa zamani wa shirika hilo wamelielezea Shirika la Habari la ‘The Associated Press’ kuhusu mpango huo wa serikali ya Trump, uliowasilishwa kwa maofisa wakuu waliosalia kwenye shirika hilo.

Walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina yao kutokana na agizo la utawala wa Trump linalowazuia wafanyakazi wa USAID kuzungumza na mtu yeyote nje ya shirika lao.

Mpango huo wa Trump utabakiza wafanyakazi 300 walioajiriwa na wanakandarasi 8,000.

trump kesi.png

=====================================================

US President Donald Trump plans to slash the number of workers at the US Agency for International Development (USAID), responsible for dispensing foreign aid around the world, from more than 10,000 to 290, sources told The New York Times.

Thousands of workers globally have been recalled to the US and placed on administrative leave, generating chaos and confusion. Over 6,000 USAID employees work overseas, many in hardship posts where they may face security risks or the threat of terrorism.

Trump has repeatedly criticized spending on foreign aid, seeing it as going against his America First policy. Alongside the Department of Government Efficiency headed by Elon Musk, the president has worked to move the remains of the independent agency under the umbrella of the US State Department.

Source: Semafor
 
Sio tu marekan USAID ilikua na mashirika mengi inayoyafadhili hapa nchini kwenye sekta mbalimbali.

Watu wamepoteza Ajira balaa.

Mpina anaposema, tuwajali wakulima wetu wa Miwa na wazalishaji Sukari wetu ,lengo ni kulinda Ajira
 
Huo uamuzi wa Trump umeacha watu wengi ma jobless
Kama waliotoa maelezo haya hawakutaka kutajwa majina yao katika nchi inayojitanaibishwa kusimamia demokrasia dunia nzima bhasi hii taarifa ni ya uongo. Mangapi tunayasikia huko na wabunge wakijitokeza live? Iweje hii majina yafichwe?
Mpaka sasa kinachojulikana ni siku 90 za Mahakama kufanya maamuzi kama significations za Trump ziko sahihi ama vipi, mengine yote ni trush....
 
Ila hizi nchi za Dunia ya tatu zitaathirika sana na maamuzi ya Trump dhidi ya USAID

Back
Top Bottom