Trump asaini Amri ya kukata Msaada kwa Afrika Kusini kwa sababu ya Sera ya Ardhi na Kesi ya ICJ

China, Russia hua Hana misaada ya maana kwa washirika na marafiki zake
Hawakupi cha bure ila kama unaweza kupambana wanakushika mkono, misaada ya wamagharibi ni ile unayopokea kwa masharti lazima aingilie sheria za nchi yako, ndo yale yaliyomkuta Museveni kupinga ushoga wakamaind wakafuta misaada, kwa nanma hii bora misaada yao wasitishe tu labda akili ndo zitaamka watu kupambana, misaada ya masharti ni utumwa tu
 
Mkuu hapo uliposema hakuna cha bure pamejitosheleza. Hakuna kitu ambacho hakina masharti, hata pain relief tablets ukizidisha unalala yoo.
 
Kwa sisi pro-Israeli tunaona S.A anastahili kuyanywa hayo maana aliyakoroga mwenyewe.
 
Wachina wanaochoma mahindi na kuuza yebo yebo kariakoo wakupe msaada😀😀😀😀😀
Hata Russia hatoi msaada zaidi wa bunduki
It's time now for African countries to cut off this chain of dependence syndrome toward US and its western allies and start utilizing their resources at full potential for their sustainable development
 
Africa needs this kind of decisions in order to boost up thinking capacity of its people. Watu wamebweteka kwa mda mrefu sana.
 
Ila Afrika Kusini nao wana kiherehere. Wapalestina hawajapeleka kesi ICC halafu wewe unaipeleka. Hao Wapalestina wenyewe wana shukrani sasa?
 
Hivi SA Wanachama wa BRICS Wanaombaje msaada kwa wanachama wa NATO?
Kwa mahasimu wao!
Sasa unataka aombe wapi wakati wana Brics wote ni choka mbaya na wao kila siku ni kupiga siasa tu hawana lolote.
 
It's time now for African countries to cut off this chain of dependence syndrome toward US and its western allies and start utilizing their resources at full potential for their sustainable development
In the absence of technology and good leadership, Africa will continue to remain the laughing stock of the world.

Poor infrastructure will continue to be the feature of the continent's diverse landscape while the ruling dictators will definitely continue to line their offshore banks' accounts with their ill-gotten wealth leaving their disenchanted people to languish in abject poverty.

With the present crop of the African rulers at the helm, the Trump's policy on aid to the foreign countries will hardly be a wake up call to them to realize that the time for slumber is now over based on their business as usual approach to their brand of leadership.

Needless to say, as the badly needed aid from the world's main donor is destined to dry out, it is time now for the African continent to have visionary leaders who can lead African nations without relying on aid to bring about an economic revolution like the Asian nations once did even if we have to have the military rulers.
 
Trump aid freeze must be a wake up call for African leader, otherwise as you said we will continue to be a laughing stock of the world as one of the continent with a massive amount of natural resources but still lag behind in terms of economic achievement
 

Kwa kiasi fulani hivi watu weusi wa nchi hiyo ya Afrika Kusini wanaweza kuwa wapo sahihi, Ila hofu yangu kubwa ipo juu ya namna ya Utekelezaji wa Mkakati huo wa Utwaaji wa Ardhi kutoka kwa hao Wazungu. Je, Mpango wa kutekeleza jambo hili upo vizuri?
Najua lazima Mpango huo utakuwa mbaya sana na utaleta matokeo mabaya sana kwa nchi hiyo ya Afrika Kusini.

Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi raia Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu mmoja anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi, yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro mikubwa na washirika wake wa karibu Sana kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi.
 
Laana walizitaka wenyewe unaisingizia Israel eti inauwa halaiki.. huku unajua unaongopa
Wabongo kama ninyi mnaijua israel kuliko spain morway na ufaransa . Isreale ilianzishwa 1947 period acha porojo za kilokole eti mtu apate laana kwa hiyo trump ni mungu ndo anatoa laana
 
Ramaphosa kamatia hapo hapo...
Nchi nyingi za Africa ziliishi bila misaada miaka ya ukombozi na tulizaliwa na kuishi mpaka leo....
Hiyo misaada yenyewe ilikuwa ya kujipendekeza wala haijaombwa...
Na tuone kama hao wazungu watakubali kuondoka SA kwenda kuishi kama wakimbizi, mbona Mandela alishawaambia kama wanataka kuondoka na waondoke haraka sana kipindi chake, bado wanafanya nini huko....
Cha ajabu mtu anaishi nyang'wale halafu anamshangilia trump......
 
Kwa mujibu wa ripoti ya 2017, wazungu wanamiliki 75% ya ardhi ya kilimo, wakati watu weusi, ambao ni 80% ya wakazi, wanamiliki 4% pekee.
Sio kabisa SA wakiwamalizana na Wazungu hhao basi wataanza kutafunana nyama wao kwa wao wenyewe kwa wenyewe wataanza kumalizana km walivyoanza kwa waafrika wengine
 
Wapi Mugabe kilichofuata wakampindua akafa kwa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…