Afadhali hao wanaozijengea mashell humu ndani, wengine wanazificha ulaya zikae tu huko na wengine wanawekeza nje ya nchi. Nakumbuka kuna rais mmoja alienda nje ya nchi akalazwa kwenye hotel inayomilikiwa na mmoja wa mawaziri wake. Aliporudi nchini akamfukuza kazi yule waziri.