Trump ataka Israel ishambulie vituo vya nuclear vya Iran

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Rais wa zamani Donald Trump alisema kuwa Israel inapaswa kulenga vituo vya nyuklia vya Iran alipokuwa akizungumza kwenye tukio la kampeni huko Fayetteville, North Carolina, siku ya Ijumaa.

Matamshi ya Trump yalikuja kama majibu kwa kauli za Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye alikuwa ameionya Israel dhidi ya kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran.

"Nadhani [Biden] amekosea. Hivyo si ndio vitu ambavyo unapaswa kushambulia?" Trump aliuliza.

"Jibu lilipaswa kuwa kushambulia vituo vya nyuklia kwanza na mengine yatafuata," alisema rais huyo wa zamani.


Republican presidential nominee and former US President Donald Trump speaks at a town hall as he campaigns in Fayetteville, North Carolina, US. October 4, 2024.

Trump's comments came in response to US President Joe Biden's earlier statements cautioning Israel against striking Iranian nuclear facilities.

Former president Donald Trump stated that Israel should target Iran's nuclear facilities while speaking at a campaign event in Fayetteville, North Carolina, on Friday.

Trump's comments came in response to US President Joe Biden's earlier statements cautioning Israel against striking Iranian nuclear facilities.
 
Anahangaika asipelekwe gerezani
 
Yeye kaparazwa ya shikio kaharisha. Kama mbabe si angaliikinga kifuani?
 
Yeye kaparazwa ya shikio kaharisha. Kama mbabe si angaliikinga kifuani?
Tuweni wakweli kwa nafsi zetu na tuache unafiki wa kuzungumza tusio yaamini. Mtu aliyenusurika kama vile, kwenye nchi ya amani kama USA na ulinzi wa kutosha halafu ukanusurika kama vile, hivi ungekua wewe ungeendelea na kampeni kweli? Remember hao jamaa hawatafuti urais ili wapate pesa, Trump being one of them, they have money already, plenty money in the bank na vitega uchumi vyake
 
Yeye alitaka kufanya nini zilipo shambuliwa kambi zao ? Bunge lao likasema nini ?

Jinga hili zee
 
Huyu kipindi chake si Iran ilizipiga kambi za Marekani na hakufanya kitu zaidi ya kubwabwaja mikwara?
Trump alimnyuka mkuu wa majeshi ya Iran, Qasem Soleimani



Haikuishia hapo Trump alisimamia ukucha vikwazo vya kuwabana Iran wasiuze mafuta, Iran ilikuwa imefulia (Broke). Biden alipoingia kawatajirisha sana Iran, Sanctions zimekuwa kama mapambo wanauza pipa milioni 20 kila siku
 
Trump huyu hapa
 
Kwani yeye hakuwahi kukaa jumba jeupe

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kipindi chake si ndo Iran alizidungua drone zake2 gharama tena zikiwa kwenye anga la kimataifa ?

Kipindi chake si Iran alikuwa anapeleka meli za mafuta nchini Venezuela pamoja na vikwazo vyake uchwara tena zikipita karibu na pwani ya Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…