Trump ataka Israel ishambulie vituo vya nuclear vya Iran

Kumuonea huruma kilema ni thawabu.Hujui hilo?
Yeye ameiongoza Marekani kwa zaidi ya miaka 4 mbona haku thubutu kuvishambulia kama ni rahisi?
Yeye analeta hasira zake za kukoswakoswa kuuawa ,hivi Israel akivishambulia vinu vya nyukilia vya Iran yeye vya kwake vitakuwa salama?
 
Umri ushampita mzee nashangaa hata hiyo USA kutaka kuongozwa na Wazee kama huyu.
 
Yeye ameiongoza Marekani kwa zaidi ya miaka 4 mbona haku thubutu kuvishambulia kama ni rahisi?
Yeye analeta hasira zake za kukoswakoswa kuuawa ,hivi Israel akivishambulia vinu vya nyukilia vya Iran yeye vya kwake vitakuwa salama?
Unazijua habari za Tel Aviv?
 
Mzee hanaga mchezo huyu ndio maana kipindi chake Iran walitulia kimya na hawataki arudi ikulu.

Kwani Iran ana vita na Marekani ndugu?

Kama Marekani anataka vita si akaonane na Putin huko?

Hata ndondi ni kwa uzito. Israel na Hamas, Houthi au Hezbollah ni uonevu.

Israel na Iran hapo sawa si waachwe wachapane hata kavukavu?

Kulikoni kuingilia?
 
Kipindi chake si ndo Iran alizidungua drone zake2 gharama tena zikiwa kwenye anga la kimataifa ?

Kipindi chake si Iran alikuwa anapeleka meli za mafuta nchini Venezuela pamoja na vikwazo vyake uchwara tena zikipita karibu na pwani ya Marekani?
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, Kilichofuata Trump alimtungua mkuu wa majeshi ya Iran, Qasem Soleimani, Lilikuwa ni pigo zito mno kwa Iran, Waswahili wanasema kupiga penye mshono.

Hizo meli zilikuwa zinakamatwa na jeshi la Marekani kwa Amri ya Trump ndio sababu iliyofanya Iran waache, Wameanza upya baada ya Biden kuingia Ikulu
 
bila shaka huyu ndiye mshindi wa uchaguzi kama hakutakuwa na figisu
 
Wahuni wa Irani kila siku wana hack kampein za Trump ili afeli, wanatamani asiingie tena White House ila wajue washafeli. Anakuja kuwala vishundu siku si nyingi
 
Piga kwenye mshono ,kiburi Cha Iran ni nuklia

Trump Yuko sahihi
Iran hana Nuclear hivi hamuelewi??? Angekua na Nuclear wasingekua wanamgusa wangekua wanaongea bae kwa adabu sio kumtishia tishia kama wanavyofanya...
 
Iran hana Nuclear hivi hamuelewi??? Angekua na Nuclear wasingekua wanamgusa wangekua wanaongea bae kwa adabu sio kumtishia tishia kama wanavyofanya...
Tump ni mjanja sana anajua isreli ikishambulia hayo maeneo wa kulaumiwa ni Biden na camara na atapata hoja kwenye campain zake kuwa utawala uliopo umeshindwa kila kila kitu
 
Huyu jamaa sijui kwanini hakuliwa kichwa ile siku, hili ni zigo la mavi kwa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…