Trump atavifunga vituo vya Kijeshi vya Marekani vilivyoko Afrika pia kama alivyofanya kwa USAID?

Trump atavifunga vituo vya Kijeshi vya Marekani vilivyoko Afrika pia kama alivyofanya kwa USAID?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa nini Marekani inaendelea kuwa na vituo vya kijeshi katika nchi za bara la Africa?

Hivi vituo vya jeshi la Marekani vilivyoko Africa nchi za Kenya, Djibouti, Ghana, Cameroon, Senegal, Seychelles na Gabon kupambana na ugaidi vina tofauti gani na misaada ya USAID?

Itakuwa undumilakwili Trump kuendelea kubakisha US military bases Africa zinazoendeshwa na pesa ya walipa kodi wa Marekani huku akiifuta USAID.
 
Waafrika tuanze kuunda silaha zetu za kijeshi zitakazoendana na mahitaji ya kivita ya dunia ya sasa. Tukivamiwa hakuna wa kututetea isipokuwa sisi wenyewe.
 
... vituo vya kijeshi haondoi! ... sasa wanasubiri muuane na kufa na magonjwa na, mkiisha, wawe wa kwanza kuhamia Africa kabla ya Warusi na Wachina!
Kuondoa kwao misaada, waliyoiweka kimkakati, ni njia ya kutupukutisha Waafrica ili nchi ibaki tupu! WATAWEZA KUPUKUTISHA BINADAMU SUGU WA AFRICA?
 
Haviko kumsaidia mwafrika bali kutimiza malengo yao ya kikoloni
 
Yaani wezi wafunge vijiwe VYAO vya kukabia.Wazungu washetani sana.
 
Back
Top Bottom