Waafrika tuanze kuunda silaha zetu za kijeshi zitakazoendana na mahitaji ya kivita ya dunia ya sasa. Tukivamiwa hakuna wa kututetea isipokuwa sisi wenyewe.Kwa nini Marekani inaendelea kuwa na vituo vya kijeshi katika nchi za bara la Africa?
Hivi vituo vya jeshi la Marekani vilivyoko Africa nchi za Kenya, Djibouti, Ghana, Cameroon, Senegal, Seychelles na Gabon kupambana na ugaidi vina tofauti gani na misaada ya USAID?
Itakuwa undumilakwili Trump kuendelea kubakisha US military bases Africa zinazoendeshwa na pesa ya walipa kodi wa Marekani huku akiifuta USAID.
Subiri wawatengenezee magonjwa ya ajabuWATAWEZA KUPUKUTISHA BINADAMU SUGU WA AFRICA?
... tutawarudishia waonje dawa yao kama corona!Subiri wawatengenezee magonjwa ya Ajabu