Trump athibitisha kuongea na simu na Putin kwa zaidi ya saa 1 na nusu. Mazungumzo kati ya Putin na Zelensky yataanza mara moja!

Trump athibitisha kuongea na simu na Putin kwa zaidi ya saa 1 na nusu. Mazungumzo kati ya Putin na Zelensky yataanza mara moja!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin.

Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa 1 na nusu na kudokeza kuwa wawili hao wamekubaliana kufanya lazi pamoja.

Katika ujumbe wake pia Trump amesema kwamba ameshaongea na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio pamoja na viongozi wengine wakubwa kuongoza majadiliano yatakayopelekea kuisha kwa vita ya Ukraine


Hii amempigia simu mwenzake Rais Putin na kumweleza masuala mbalimbali wanayoshirikiana ikiwa ni pamoja na nafasi ya nchi zao kama wakubwa wa Dunia. Huku akimweleza kuwa ameshamwita zelensky aripoti Washington ASAP kumpa maelekezo ya kuacha ugomvi na Russia.

Katika Hali nyingine waziri wa ulinzi wa marekani Leo ameeleza kuwaa ni vigumu kwa Ukraine kurudisha maeneo yake yaliyochukuliwa na Russia kwa sasa waanze maisha mapya.

Kwa mtazamo wangu hapa Europe na NATO wapekalia Dole la kati na mambo yamekwishavuruguka.

====================================================

Screenshot_20250212-202932_1.jpg

US President Donald Trump has held separate phone calls in quick succession with Russian President Vladimir Putin and Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on potentially moving forward with peace talks.

In a post on social media platform Truth Social, Trump said he had a "lengthy and highly productive phone call' with Russian President Vladimir Putin regarding negotiations to end the war in Ukraine.

In the same post, Trump wrote "I have asked Secretary of State Marco Rubio, Director of the CIA John Ratcliffe, National Security Advisor Michael Waltz, and Ambassador and Special Envoy Steve Witkoff, to lead the negotiations which, I feel strongly, will be successful."

Trump said he and Putin also discussed other topics including the Middle East, energy, Artificial Intelligence and "the power of the dollar", as well as reflected on the "great history of our nations," and thanked him for the release of American school teacher Marc Fogel as part of a prisoner swap with Alexander Vinnik, a convicted Russian criminal.

Source: Euro News
 
Hii Leo Rais Trump amempigia simu mwenzake Rais Putin na kumweleza masuala mbalimbali wanayoshirikiana ikiwa ni pamoja na nafasi ya nchi zao kama wakubwa wa Dunia. Huku akimweleza kuwa ameshamwita zelensky aripoti Washington ASAP kumpa maelekezo ya kuacha ugomvi na Russia.

Katika Hali nyingine waziri wa ulinzi wa marekani Leo ameeleza kuwaa ni vigumu kwa Ukraine kurudisha maeneo yake yaliyochukuliwa na Russia kwa sasa waanze maisha mapya.

Kwa mtazamo wangu hapa Europe na NATO wapekalia Dole la kati na mambo yamekwishavuruguka. Russia is the winner.View attachment 3234679
Sawa ila EU huwezi kuitenga na Nato nawenyewe wana hofia Russia expansionist policy kwa nchi zingine zaidi, sio suala la kuagiza negotiation ni lazkma zifanyike.
 
Back
Top Bottom