Trump atishia kukata misaada kwa Misri ikiwa haitapokea Wapalestina

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kukata misaada kwa Egypt ikiwa hawatakubali kuwakaribisha Wapalestina kutoka Gaza.

Trump anataka Marekani inunue na kuimiliki Gaza.

Egypt ilipokea msaada wa dola bilioni 1.3 kutoka Marekani mwaka 2024 na dola bilioni 1.5 mwaka 2023, na kuifanya kuwa moja ya nchi zinazopokea msaada mkubwa zaidi duniani.

1739262574592.png
Soma, Pia:
==

President Donald Trump made a series of statements elaborating on his plans for Gaza on Monday, including raising the possibility that he could withdraw aid to Jordan and Egypt if they do not take in Palestinians and saying “all hell is going to break out” if hostages aren’t returned by Saturday.

After signing executive orders Monday, Trump issued an ultimatum to Hamas: “If all of the hostages aren’t returned by Saturday at 12 o’clock … I would say, cancel it and all bets are off and let hell break out,” he said in remarks to reporters. When asked whether he meant retaliation, Trump said, “You’ll find out, and they’ll find out, too. Hamas will find out what I mean.”

Trump’s comments came after Hamas earlier in the day said it would delay “until further notice” the release of three Israeli hostages set for Saturday — the first major setback for the ceasefire and hostage-release deal. Hamas blamed its delay on recent Israeli shelling and gunfire in Gaza, along with an insufficient flow of aid.

The move by Hamas came as Trump said Palestinians displaced from Gaza to neighboring countries, under his proposal for the United States to “own” Gaza and develop real estate there, would not have the right to return to the enclave. His comments came during an interview with Fox News host Bret Baier that aired Monday evening.

“In the meantime, I would own this. Think of it as a real estate development for the future. It would be a beautiful piece of land,” Trump said of the plan, which he first floated last week during Netanyahu’s visit to Washington.

Asked by Baier if Palestinians would be allowed to return to Gaza, Trump replied: “No, they wouldn’t, because they’re going to have much better housing. In other words, I’m talking about building a permanent place for them.”

On Monday, after signing executive orders, Trump was asked by a reporter whether he would consider withholding aid from Jordan and Egypt if they don’t agree to take in Palestinians. “Yeah, maybe, sure, why not? If they don’t, I would conceivably withhold aid, yes,” Trump said.

Jordan’s leader, King Abdullah II, is set to meet the president in Washington on Tuesday.

SOURCE: washingtonpost.com
 
Hii ndo gharam ya kula vya watu lazima alipie gharama .. misri walifanywa watumwa wakaona ufahali ..tuone kama watashupaza tena shingo
 
Misri ni nchi yapili kupokea mipesa mingi kutoka marekani baada ya Israel iyo imekuwa ivo tangu Misri aliposaini Mkataba wa Hamani na Israel kwamba Misri aitatumika kwanjia yoyote kuiyujum Israel

Mkataba wa The Camp David Accordi 1978. Kwann ilikuwa Marekani na Israel ililazimika kufunga Mkataba na Misri ktk mataifa yote ya Kiarabu Misri ndio yenye nguvu za Kijesh kuliko zote, Wazungu wakaona mpango wao autowezekana kuidhibiti Mashariki ya kati

bila kuifanya Misri iwe kama aipo kwenye kwenye Eneo nikama Wameifumba Macho kwa pesa!!!! Baadae ndio tukaimbiwa nyimbo inaitwa vita vya siku 6 baina ya Warabu na ISRAEL

mizwazwa ikaamini kweli Israel inamaguvu ya kuwachapa Warabu kwa siku 6 !!!!!! Leo Wanashangaa Hamas inapigana na Marekani Silaha + mindege ya Marekani Wanajeshi wa marekani Pesa za Marekani !!!!!! Iran ikitaka kuichapa Israel majeshi ya Marekani pamoja na ya Nato yote yanaenda Zuiya shambulizi!!!!! DUNIA imekuwa kijiji akuna pakujifichia kisha mtwambie ni Israel pekeyake!!!
 
Trump anataka kuwapeleka na DRC, Somaliland, Morocco, Misri, Jordan, hata Puntland kwa wasomali
Yaani anaongea linalotoka mdomoni tu
Screenshot_20250209_175137_Chrome~2.png
Screenshot_20250209_175057_Chrome~2.png
 
Inawezekana Marekani na Israel inataka sasa kujitoa kwenye ule Mkataba kwasababu lengo kuu lilikuwa kuzuiya Silaha zisiwafikie Wapalestina lkn sasa Wameona ngumu kuizuiya Palestinians kupitia ule Mkataba

Silaha zinapita na uwezi kupata Ushaidi njia za siri sana pili inawezekana Wapalestina wenyewe wanaunda Silaha sasa ktk ali hii Wakipiga esabu vita hii ilivokuwa uku wao Wanamimina mipesa kwa Misri!! Tramp kaja kuvunja mikataba yote
kwakuwa iyo mikataba kwanamna furani ilikuwa ipo kwaajili ya Ukoloni wa Marekani na ktk kuikingia kifua Israel sasa mambo yamekuwa kinyume Watumishi Wasasa ktk Mashilika mengi awataki kuburuzwa zamani walikuwa Simu moja 2 Wanageuza ukweli kuwa Uwongo!!

Mfano shilika la Afya Duniani WHO kipindi kile cha ugonjwa w Corona!! TRAMP alitaka kulitumia shilika la WHO. kisiasa kuibana China. mshindani Wao kiuchumi kuwa ndio Tatizo kuu la ule Ugonjwa

lkn Mkurugenzi ambae ni muEthiopia alikataa uwo Upumbavu TRAMP akafanya juuu chini uyu Mkurugenzi aondoke ktk Shilika!!!! Lkn wapi ndio mana alipoingia TRAMP IKULU. na DG. w WHO ni yule yule kaitoa Marekani

ivyo ivyo kwenye mashilika mengine nayo Yamegoma kutumika kwenye Uwongo kuinufaisha Aidha Marekani au Israel kwaiyo Wameona kama aya Mashilika yanasimama na Ukweli

akuna Sababu yakuwepo lengo lao sio kujitoa tu lkn lengo kuyafuta kabisa na historia yake Waifute isije kufadhiliwa na mwengine alafu Upumbavu wao ukajulikana namna aya Mashilika yalikuwa yanafanya Kazi kingese!!!

Kwaiyo sasa Wanatafuta Sababu Wajitoe kwenye ule Mkataba wa Camp David Accordi w 1978. Kitu ambacho kinafanya ali kuwa ngumu zaid kwa Israel kinachowasumbua IDF kutaka kujua wale HAMAS Wanaojifunika sana nguo kina nani Wanatoka Nchi ipi kubwa hofu yao pengine mijamaa ni makomando wa Misri mbona Vita hii Wametumia nguvu kubwa lkn Bado wakaambulia matupu kuna nini ndani ya GAZA pesa zimegoma kuifanya Palestina isiwe na nguvu
 
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kukata misaada kwa Egypt ikiwa hawatakubali kuwakaribisha Wapalestina kutoka Gaza.

Trump anataka Marekani inunue na kuimiliki Gaza.

Egypt ilipokea msaada wa dola bilioni 1.3 kutoka Marekani mwaka 2024 na dola bilioni 1.5 mwaka 2023, na kuifanya kuwa moja ya nchi zinazopokea msaada mkubwa zaidi duniani.

Soma, Pia:
==

President Donald Trump made a series of statements elaborating on his plans for Gaza on Monday, including raising the possibility that he could withdraw aid to Jordan and Egypt if they do not take in Palestinians and saying “all hell is going to break out” if hostages aren’t returned by Saturday.

After signing executive orders Monday, Trump issued an ultimatum to Hamas: “If all of the hostages aren’t returned by Saturday at 12 o’clock … I would say, cancel it and all bets are off and let hell break out,” he said in remarks to reporters. When asked whether he meant retaliation, Trump said, “You’ll find out, and they’ll find out, too. Hamas will find out what I mean.”

Trump’s comments came after Hamas earlier in the day said it would delay “until further notice” the release of three Israeli hostages set for Saturday — the first major setback for the ceasefire and hostage-release deal. Hamas blamed its delay on recent Israeli shelling and gunfire in Gaza, along with an insufficient flow of aid.

The move by Hamas came as Trump said Palestinians displaced from Gaza to neighboring countries, under his proposal for the United States to “own” Gaza and develop real estate there, would not have the right to return to the enclave. His comments came during an interview with Fox News host Bret Baier that aired Monday evening.

“In the meantime, I would own this. Think of it as a real estate development for the future. It would be a beautiful piece of land,” Trump said of the plan, which he first floated last week during Netanyahu’s visit to Washington.

Asked by Baier if Palestinians would be allowed to return to Gaza, Trump replied: “No, they wouldn’t, because they’re going to have much better housing. In other words, I’m talking about building a permanent place for them.”

On Monday, after signing executive orders, Trump was asked by a reporter whether he would consider withholding aid from Jordan and Egypt if they don’t agree to take in Palestinians. “Yeah, maybe, sure, why not? If they don’t, I would conceivably withhold aid, yes,” Trump said.

Jordan’s leader, King Abdullah II, is set to meet the president in Washington on Tuesday.

SOURCE: washingtonpost.com
Si ilikuwa ni msaada.,mbona sasa imekuwa nongwa.
Kwa namna hiyo itakuwa ilikuwa rushwa.
 
Harafu utamsikia mtu anasema Tanzania inategemea misaada 😂😂
 
Back
Top Bottom