Maneno yako ni 💯Trump ni muhuni fulani anayeiongoza nchi kwa mtazamo wake bila kuwahusisha wataalam,jinga sana zee lile!
Wacha sasa lipindishe mdomo wake vizuri, afu lipanue miguu na kupeleka mikono nje ndani , we mtu akiongea hata hakuna hata kitu chake kinakaa sawa kuanzia mdomo, mikono na miguu, afu aje na point 🤣
Baada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho,
Sasa ameamua kufuta tozo zote za Simu, na Vifaa vyote vya electronic kutoka China.
Kama amefuta hizi tozo, nini maana yakujifanya anaweka tozo za 145%, wakati asilimia kubwa ya vitu kutoka China ni Simu, na vifaa vya electronic ?
Hili zee ni pumbavu na halina msimamo.....
=================
Utawala wa Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ulitoa msamaha kwa simu za mkononi, kompyuta na vifaa vingine vya kielektroniki dhidi ya ushuru wa kibiashara unaojulikana kama "ushuru wa kisasi" (reciprocal tariffs), hatua ambayo huenda ikawapunguzia mzigo wa gharama watumiaji huku ikinufaisha makampuni makubwa ya kielektroniki kama Apple Inc. na Samsung Electronics Co.
Soma Pia: Trump ameruhusu kusitishwa kwa siku 90 kwa ushuru kwa nchi nyingi, ila ameongeza ushuru kwa bidhaa za China hadi 125%
Msamaha huo, ambao ulitangazwa Ijumaa jioni na Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani (US Customs and Border Protection), unapunguza wigo wa ushuru huo kwa kuondoa bidhaa hizo kutoka kwenye ushuru wa asilimia 125 unaolenga bidhaa kutoka China, na ushuru wa msingi wa asilimia 10 kwa karibu bidhaa zote kutoka nchi nyingine.
Bidhaa zitakazonufaika na msamaha huo ni pamoja na simu za mkononi, kompyuta mpakato (laptops), diski kuu (hard drives), pamoja na processors na memory chips za kompyuta. Vifaa hivyo maarufu vya kielektroniki havitengenezwi kwa wingi nchini Marekani, na kuanzisha viwanda vya kuzalisha vifaa hivyo ndani ya nchi kungehitaji miaka kadhaa.
Iphone ndugu anaiokoa inaitegemea china kuanzia cheap hadi mainjiniaBaada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho,

Linawatishia nyau macho madogo(mchina). Wao wamefanya kweli. Kabana mpaka kalegeza mwenyewe.Trump ni muhuni fulani anayeiongoza nchi kwa mtazamo wake bila kuwahusisha wataalam,jinga sana zee lile!
Ivi unawezaje kujifikria ama siku ukijua kuwa wee ndiye lizee na lipumbavu mkuu itakuwaje?Hili zee ni pumbavu na halina msimamo
Kama ndio umekuja kujua hivi karibuni, basi ni jambo jema kwako, jaribu kuwa unapenda kufuatilia habari kwa ubdani pindi zinavyotoka.Ivi unawezaje kujifikria ama siku ukijua kuwa wee ndiye lizee na lipumbavu mkuu itakuwaje?
Yaani ungekuwa unajua uchumi wa kibepari Wala usingetoa hayo maneno Wala kuwaza. Nakumbuka Ile 2008 nasikia mtikisiko wa uchumi Sina habari yoyote baadaye nilikuja kujua Ila ivi karibuni.
Sasa kwa taarifa yako mkuu kwa hizi siku kadhaa ambazo amesema hayo maneno mara kupandisha mara kushusha yaani ungekuwa na uelewa hata wa chekechekea kuhusu uchumi ama biashara za wenzetu zinavyojiendesha.
Ambacho huelewi ni kuwa Kuna mabepari wametengeza billions of dollars an kupoteza billions of dollars.
Yaani alivyosema stocks zilishuka watu waliuza kwa huge amount yaani ni mtu ana uza millions or hundreds of thousands of stocks , wakanunua Tena kwa ghafula mno ambao wanaitwa insider.
Stocks za china mpaka USA zilishuka Ile mbaya Ila ijumaa zilianza kurudi kwenye eneo lake la Bei.
Mfano tu Dow Jones ilishuka like points 600000
Hizi points kwa mtu amegain both sides buy&sell.
Kuna watu wamenunua lot size like 2000-10000 za Dow Jones unadhani hapo wamemeki kiasi gani within short period of time.
Elewa Kila move is just and already calculated move , people are playing game of big boy money club.
Life and everything is all about game,Kuna political game, dating game, business game, yaani Kila kitu ni game Kama hujui.
Ila ngoja nikuache tu Mana mbongo Kila kitu wanakijua yaani hata mkurugenzi anamkagua Engineer kwa kupiga tofali chini likipasuka tu anakuambia mbona hili sio kabisa
Poa poa uko sahihi mkuu, unajua zaidi yangu, uko kichwa mno una madini kinyama, sure zee lipumbavu sema mie kilaza Fulani ivi.Kama ndio umekuja kujua hivi karibuni, basi ni jambo jema kwako, jaribu kuwa unapenda kufuatilia habari kwa ubdani pindi zinavyotoka.
Turudi 2008, wakati wewe ndio umesoma hivin karibuni, mimi iliathiri binafsi, kwenye thamani ya nyumba yangu, na ajira.
Huu mchezo anaocheza Trump, ni ana watu wake anawatonya nini cha kununua, na kuuza kabla hajapayuka
Hawa hapa, na wabunge wa chama chake
Hii ni kosa kisheria, hakuna cha calculated move wala nini, na itakuja kumkosti, ndio maana anataka kujipanga abadilishe katiba ili agombee tena.Rep. Marjorie Taylor Greene bought up tech, apparel shares that surged after Trump’s tariffs pause
Before a global tariffs pause of 90-days was announced Wednesday, Trump had posted on his Truth Social a little after 9:30 a.m. EST: “THIS IS A GREAT TIME TO BUY!!! DJT.”nypost.com
Narudia tena hili zee ni pumbavu na libinafsi sana, wala hajali nchi yake,
Tatizo tunawaona wamarekani wote ni watu wenye akili sana, bila kujua ndani ya population ya wamarekani, kuna kundi kubwa sana la wajinga, ambapo per capita hata bongo tunawashinda on literacy.....Poa poa uko sahihi mkuu, unajua zaidi yangu, uko kichwa mno una madini kinyama, sure zee lipumbavu sema mie kilaza Fulani ivi.
Unamzidi Hadi trump akili ambaye wamarekani wamemuamini awaongoze. Am sure you've the brain than all Americans who voted him to be their president.
Umesema vyemaTrump kwa China ni mchumba tu