Trump Atoa Msamaha wa Ushuru kwa Simu, Kompyuta na Vifaa vya Kielektroniki

China nao wangegoma kupeleka .. lakin tayari sio rahis kusawazisha uchumi kiasi hicho demage control ni mbaya sana
 
China nao wangegoma kupeleka .. lakin tayari sio rahis kusawazisha uchumi kiasi hicho demage control ni mbaya sana
China means business...
Wao wanafanya biashara hata na Yesu au Mtume kama wangekuepo mida hii.....
Hawana utoto wa kuzira kama trump.....
trump akifungua biashara, mzigo huu hapa bila kupepesa macho.....
 
Ndio mana nilikuambia uko brained too much, inabidi ugawie wengine like me ama sijasema..yaani nimekukubali kinyama unadondosha nondo..
Unawezaje na ww kunipa kichwa chako ama unigawie , hata wa USA inabidi uwape akili kidogo
 
Wacha sasa lipindishe mdomo wake vizuri, afu lipanue miguu na kupeleka mikono nje ndani , we mtu akiongea hata hakuna hata kitu chake kinakaa sawa kuanzia mdomo, mikono na miguu, afu aje na point 🤣
Umesahau kichwa
 


Wewe una uelewa mdogo sana kwenye masuala haya.

Hivi unaelewa hayo makamouni yanayotengeneza vifaa hivyo huko China yanamilikiwa na nani?

Marekani imeamua kuyapatia unafuu makampuni ya wamarekani na wakorea kusini waliowekeza China.
 
Uko sahihi kabisa. Sisi watanzania tunapenda ku'side na mambo ya kijinga Sana.
Hatupendi maarifa na wala hatupendi kujishughulisha kutazama mambo kwa upana.
Mfano mzuri soma mada zinazohusu:
1. Ukraine Vs Russia
2. Israel Vs Palestine
3. CHADEMA Vs CCM
4. Simba Vs yanga
 
Hivi unaelewa hayo makamouni yanayotengeneza vifaa hivyo huko China yanamilikiwa na nani?

Marekani imeamua kuyapatia unafuu makampuni ya wamarekani na wakorea kusini waliowekeza China.
Wewe ndio una uelewa mdogo sana

Ipo hivi unapozungumzia vifaa vya kielektroniki unazungumzia home appliances kama T.V, refregerators, washing machines, P.C, A.C, semicondocturs, circuits n.k

China inaongoza duniani kwa kuuza home appliances tena brands zao yaani China based brands kama Midea, Haier, Hisense, TCL, Skyworth, Xiaomi, Gree, Lenovo n.k

​
  • Kwa mfano kwa sasa kampuni za China za kutengenza T.V kama Hisense, TCL, Xiaomi, Huawei zimezidi LG na Samsung kwenye global shipment ​
​
  • Haier hii kwa sasa ni kampuni kubwa duniani ya kutengeneza major home appliances​

  • Kwenye soko la dunia la smartphone asilimia 50% ni Chinese brands Huawei, Vivo, Xiaomi, Honor, Transsion Holdings (Infinix na Tecno)​
​
  • Unapokuja kwenye vifaa vya kielektroni defense contractors wa Marekani wananunua vifaa vingi yaani dual goods kama circuits, semiconductors n.k kutoka kwa Chinese suppliers​

Panasonic walifunga kiwanda chao China, Samsung nao walishafunga viwanda vyao vya simu, TV na P.C nchini China walishindwa ushindani.

Dell na HP nao ni tia maji tia maji soon watatema bungo hapo China na kusepa kwa sababu ya ushindani mkali

Kwa hiyo Trump anapopunguza ushuru kwa vifaa vya umeme kutoka China ujue sehemu kubwa ya vifaa hivyo ni China based brands

Manufacturers pekee wa simu na tablet kutoka nje waliobaki China ni Apple nao kwenye soko la ndani la China wameshaanza kupoteana iPhone wanashika nafasi ya 5 nyuma ya Huawei, Vivo, Xiaomi na Honor.

Na bado factories zilizobaki China ambazo ni za nje wanategemea mambo 3 kutoka China
​
  • Strong chain supply​
  • Chinese suppliers ili kupata components za kutengeneza bidhaa zao ​
  • Skilled personnel​
Hivyo vyote vitatu ni benefits kwa uchumi wa China​
 
Kuna Wamarekani Weusihumu hutawaona wakichangia hapa. Walijua China ni kama Congo DrC
 
Wewe una uelewa mdogo sana kwenye masuala haya.

Hivi unaelewa hayo makamouni yanayotengeneza vifaa hivyo huko China yanamilikiwa na nani?

Marekani imeamua kuyapatia unafuu makampuni ya wamarekani na wakorea kusini waliowekeza China.
Ndio maana mnafundishwa elimu ya kukariri, hii nchi yenu ni majanga, mnakuwa very narrow minded...

China don't give a toss, who owns the companies, as long those products are manufactured in China and can be exported to US, so they can get revenue for their government and employment for their people, that's all what's matter....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…