Trump atoa onyo kwa Members wa BRICS: Nchi itakayoacha kutumia Dola na kutumia sarafu nyingine itaongezewa kodi ya asilimia 100% kwenye Bidhaa

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Bwana Trump amewaonya wanachama wa BRICS kwamba wanacheza na moto Kwa Kuharibu kuunda sarafu Mpya Ili waepukane na Dola.

Trump amesema ataweka vikwazo na kupandisha ushuru wa bidhaa na Huduma Hadi asilimia 100% Kwa Nchi ambazo zitaacha kutumia Dola Ili kuua the mighty dollar supremacy.

Screenshot_20241201-173324.jpg

My Take: Nchi zote zifuate njia ya China ,yaani ubaya ubwela ukimwaga mboga wengine wamwage ugali.
 
Mh! huyu mzee ameanza kupagawa nini..?! Yanini kuanza kulazishana matumizi ya fedha fulani ikiwa marekani imekuwa ikijiita baba wa demokrasia, hiyo ndio demokrasia..??
Lazima utumie Dola ,kaka wa Dunia ndio kasema Sasa,nenda kinyume uone moto 🔥🔥
 
Bwana Trump amewaonya wanachama wa BRICS kwamba wanacheza na moto Kwa Kuharibu kuunda sarafu Mpya Ili waepukane na Dola.

Trump amesema ataweka vikwazo na kupandisha ushuru wa bidhaa na Huduma Hadi asilimia 100% Kwa Nchi ambazo zitaacha kutumia Dola Ili kuua the mighty dollar supremacy.

My Take: Nchi zote zifuate njia ya China ,yaani ubaya ubwela ukimwaga mboga wengine wamwage ugali.
Putin ameshasema issue ya BRICS currency haikuwa serious, ilikuwa ni utani tu
 
Back
Top Bottom