The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Lazima utumie Dola ,kaka wa Dunia ndio kasema Sasa,nenda kinyume uone moto π₯π₯Mh! huyu mzee ameanza kupagawa nini..?! Yanini kuanza kulazishana matumizi ya fedha fulani ikiwa marekani imekuwa ikijiita baba wa demokrasia, hiyo ndio demokrasia..??
kumbe baba wa demokrasia nae kinamshuka! anataka kulinda uchumi wake kwa kulazimisha wengine! huko ni sawa na kubaka!Lazima utumie Dola ,kaka wa Dunia ndio kasema Sasa,nenda kinyume uone moto π₯π₯
Sasa kila nchi ikitunisha misuli hivi, nani anasalia wa kumsalimia mwenzie? Anatufunzani huyu?kumbe baba wa demokrasia nae kinamshuka! anataka kulinda uchumi wake kwa kulazimisha wengine! huko ni sawa na kubaka!
Putin ameshasema issue ya BRICS currency haikuwa serious, ilikuwa ni utani tuBwana Trump amewaonya wanachama wa BRICS kwamba wanacheza na moto Kwa Kuharibu kuunda sarafu Mpya Ili waepukane na Dola.
Trump amesema ataweka vikwazo na kupandisha ushuru wa bidhaa na Huduma Hadi asilimia 100% Kwa Nchi ambazo zitaacha kutumia Dola Ili kuua the mighty dollar supremacy.
My Take: Nchi zote zifuate njia ya China ,yaani ubaya ubwela ukimwaga mboga wengine wamwage ugali.
Mambo yanabadilika mkuu usifikiri mataifa yote yanawaza kama sisi wabongoLazima utumie Dola ,kaka wa Dunia ndio kasema Sasa,nenda kinyume uone moto π₯π₯