funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Jun 8, 2025 #1 Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Jun 8, 2025 #2 Weka link mzee ili uaminike kirahisi.Kizazi hiki kinahoji sana.
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Jun 8, 2025 Thread starter #3 ki2c said: Weka link mzee ili uaminike kirahisi.Kizazi hiki kinahoji sana. Click to expand... Imeonekana kila mahali
ki2c said: Weka link mzee ili uaminike kirahisi.Kizazi hiki kinahoji sana. Click to expand... Imeonekana kila mahali
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Jun 12, 2025 Thread starter #4 kazi kazi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jun 12, 2025 #5 Na nyie tumieni jeshi kuzima no reforms no election.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,853 Reaction score 8,252 Jun 13, 2025 #6 Huwezi kuwaona wale Watanzania Uchwara wakiingia kwenye nyuzi kama hii Kwanini? Tukisema tumeingiliwa huwa hatukosei. CHADEMA wako wapi kukemea haya? Yule Lodi Loffa denning yupo wapi?
Huwezi kuwaona wale Watanzania Uchwara wakiingia kwenye nyuzi kama hii Kwanini? Tukisema tumeingiliwa huwa hatukosei. CHADEMA wako wapi kukemea haya? Yule Lodi Loffa denning yupo wapi?