Trump Confirms Plans for Mombasa - Nairobi Superhighway (VIDEO)

Naona hiyo comment imekuuma sana. Pole sana
Hakuna kilichoniuma, nilikuwa naoyesha njia ya wakenya kupunguza stress zao. Kama ukanda huu wauwafai, basi kuna plan B ambayo ni kuhama.
 
Hakuna kilichoniuma, nilikuwa naoyesha njia ya wakenya kupunguza stress zao. Kama ukanda huu wauwafai, basi kuna plan B ambayo ni kuhama.
Unajua tu hiyo haiwezekani. Kubali tu imekuuma yaishe.
 
Unajua tu hiyo haiwezekani. Kubali tu imekuuma yaishe.
Nitakubali siku mkiacha kulialia eti ukanda huu unawarudisha nyuma, mlango upo wazi nendeni mkapambane na wengine huko duniani.
 
Nitakubali siku mkiacha kulialia eti ukanda huu unawarudisha nyuma, mlango upo wazi nendeni mkapambane na wengine huko duniani.
Kwani shida iko wapi Wakenya wakisema ukweli. Ama ulikuwa unataka waseme eti T.Z iko level ya Kenya kimaendeleo? Ndio, wanaeza sema hivyo kuwafurahisha lakini hio haitabadilisha ukweli kwamba Kenya iko peke yake ukanda huu kwenye middle income. Nchi zaidi ya kumi ukanda huu zote LDC. Hio ndio ukweli baba, najua ni uchungu kumeza lakini itabidi umeze bila maji. Ukweli haubadiliki. Ila naelewa kuwa ni tabia mbaya sisi Wakenya kujipiga kifua kila saa, saa zingine ni busara kumsifia jirani yako kwani hawezi kosa mazuri fulani. Tanzania mna mengi mazuri, utangamano, kila familia lina shamba, tourism iko poa, FDI iko juu n.k. Usijali mtafika tu.
 

Hakuna mipaka mipya imechorwa kokote kule, hata hiyo Sudan Kusini walikua tayari wana eneo lao ambalo muda wote walikua wanapigana wajitenge, ikabidi mwarabu awaachie wajitawale lakini wakiwa kwenye ardhi yao ambayo wameimiliki miaka yote.
Kenya kwa sasa itabidi kuendelea kuvumilia majirani wavivu tu....hatuna bahati, Asian tigers kilichowaokoa ni kwamba wote walichangamka kwa pamoja, lakini hapa sisi tu ndio tumeachwa tukimbie.
 
Hujaambiwa uchore mipaka, umeambiwa kajiunge na wale unaona mko sawa. Sisi huku tuache na mbio zetu za kinyoga tutafika tu. Haina maana ya kulia lia wakati njia mbadala ipo, mmejaribu na mchina yanawashida, sasa mnamsogelea Mmarekani
 
Hujaambiwa uchore mipaka, umeambiwa kajiunge na wale unaona mko sawa. Sisi huku tuache na mbio zetu za kinyoga tutafika tu. Haina maana ya kulia lia wakati njia mbadala ipo, mmejaribu na mchina yanawashida, sasa mnamsogelea Mmarekani

Hatujawahi kujaribu na yeyote, tuko Afrika bado tumezungukwa na mivivu.
 
It's SEEN, FELT, IMBIBED, and ABSOLVED
We can monitor, measure and analyse its results,output, outcome and impact

Mkenya ana kainchi kadogo kame bila madini lakini anatawala ukanda huu akiwa na karibia nusu ya GDP ya EAC yote.
As a true known white supremacist of the present days, with a strong belief in white chauvinism. I bet that there will never be any harder nut for us as a nation to crack, if cutting a deal out of a Trump calibre is anything to go by. Kudos to our prezda!, his courage and eloquence is a true reflection of the people he represents. As a leader, failing on a simple task such as the ability to express yourself as a good orator reduces your stature as the best amongst the worst that you represent.
 
Sasa watu mna SGR yenye uwezo wa kubeba watu toka Mombasa mpaka Nairobi, hii superhighway ya nini sasa? Hivi kweli there is economic activities which require these kinds of infrastructures?
 
Sasa watu mna SGR yenye uwezo wa kubeba watu toka Mombasa mpaka Nairobi, hii superhighway ya nini sasa? Hivi kweli there is economic activities which require these kinds of infrastructures?
It's the same way you'd have asked this question that: why were we building a railway and yet we had an already passable road connecting Mombasa and Nairobi or direct flights btn the two towns.

It's called diversification and this is meant to take care of varied needs of the Kenyan citizenry. Do you know that there are people who are obsessed with their machines and they wouldn't want either of the above public means?. Others want to enjoy full engine thrust of their modern acquired Buggattis etc.
 

It is silly to compare a third world country's economy like Kenya with the economies in the developed world. Let's not kid ourselves, Kenya has scarce resources and millions of her people are struggling to make ends meet. Frankly, it doesn't make no sense economically to spend huge amounts of money on projects that the country doesn't currently need. Remember, your government had to pass a rule to force businesses to utilize SGR in shipping cargo from the Port of Mombasa to other parts of the country. This was done in order to ensure that there is enough cargo for SGR viability; in fact, if this move was not done the SGR would have been in trouble.therwise they wouldn't have enough cargo for the SGR.

So, if you don't have enough cargo for the SGR why then Uhuru wants superhighway? It is also important to remember that Kenya foreign debt is growing astronomically and soon or later your kids or grand kids will have to pay.I don't understand why any reasonable person would support this nonsense.
 

Yeah! True, Uhuru made it clear, his mission was purely business, win win situation, nothing to do with begging.
 
It only sounds silly to you and people of your ilk. Whether you are a third world country or not you have to go with the modern world trend. It's just like telling me that a slum dweller in Tandale is not allowed to enjoy the Sandy beaches of dar even if its on occasional treat. Nor are they allowed to take pizza or barbecue simply because is a preserve for the leafy suburbs dwellers, nkt!...

You should also understand that, regardless of third World status, the so called middle class and the rich do exist and they have a right for their needs to be taken care of. Otherwise failure to doing that shall have amounted to nothing less than discrimination under the law.
 
Ukweli lazima usemwe. Rais Kenyatta kaiwakilisha Kenya vyema huko US na ulimwenguni kwa ujumla. Ana uwezo mkubwa wa kueleza mawazo yake kwa ufupi na kueleweka vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…