johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Donald Trump ameagiza Wizara ya Mambo ya ndani kupanua na kuongeza nafasi kwenye gereza la Guantanamo Bay lengo likiwa ni kwenda kuwapeleka wahamiaji wote watakaoingia Marekani kwa njia haramu na watakaofahamika kufanya uhalifu nchini humo
"Watu wengi hata hawajui kuhusu hili. Tuna vitanda 30,000 huko Guantanamo kwa ajili ya kuwazuilia wahalifu haramu wabaya zaidi wanaotishia wananchi wa Marekani. Tutaongezea uwezo gereza hilo mara moja"
"Hii ni hatua muhimu kutokomeza uhalifu wa wahamiaji," Trump alisema.
Washauri wake waliliambia CNN kuwa gereza la Guantanamo Bay kwa wahamiaji litasimamiwa na Idara ya Uhamiaji na Forodha (ICE).
================================================================
President Donald Trump on Wednesday signed a memorandum directing the federal government to prepare the US Naval base at Guantanamo Bay, Cuba, to house tens of thousands of migrants.
The memorandum calls for the Defense and Homeland Security Departments to provide additional detention space at Guantanamo for “high-priority criminal aliens unlawfully present in the United States.”
“Most people don’t even know about it. We have 30,000 beds in Guantanamo to detain the worst criminal illegal aliens threatening the American people. This will double our capacity immediately,” Trump said from the White House earlier in the day.
Trump’s remarks came just before he signed the Laken Riley Act, the first major legislative win of his second term, which requires the detention of undocumented migrants charged with certain crimes. Congress passed it earlier this month with Democratic support.
“Today’s signings bring us one step closer to eradicating the scourge of migrant crime in our communities once and for all,” Trump said.
Trump’s top immigration advisers later told CNN that management of a Guantanamo Bay detention facility for migrants would be overseen by Immigrations and Customs Enforcement.
Source: CNN
My take
Nawapa tu taarifa Watanganyika Wenye ndugu Zao Marekani wanaoishi bila Kuwa na Makaratasi
Uwezo wa Gereza la Guantanamo ni Sawa na Uwanja wa Mkapa jijini DSM
Ni hilo tu 😂