Nimewaambia wakawa wanabisha.Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.
Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.
Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
Trump atashinda saaaaanaUchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.
Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.
Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
Democrats inabidi wasimamishe jitu moja linaloweza kupambana na mineno michafu ya team Trump, Kamala hauwezi mziki wa team Trump na wakimpitisha itakuwa faida kwa Team Trump ingawa siasa za US hazitabiriki sometimeDemocrats waanze Sasa kuimba wimbo uleule , kwamba Trump ni mzee hafai kuongoza, mchezo kupokezanaš
We unadhani hao wanao vote wana akili kama zakoUchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.
Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.
Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
Kaletewa moto, na Gen Z wameamka ghafla for kamalaUchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.