Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA its about institution kama Congress haipeleki article to senators it means Trump is not impeached .
Well habari ndio hiyo He is not impeachedWe dada na kuishi huko ulivyoandika humu unaishi, umetoka kapa kuelewa kimombo?
Unatia aibu, Kiswahili kizuri jivunie
We dada na kuishi huko ulivyoandika humu unaishi, umetoka kapa kuelewa kimombo?
Unatia aibu, Kiswahili kizuri jivunie
Don’t be negative and a hater .life is beautiful
What’s your problem read the constitutionNimekushitua ujiongeze kwa Upendo wangu, ikuingie haswa. Mtandaoni kuna kusoma pia, sikukuu njema.
Nimekushitua ujiongeze kwa Upendo wangu, ikuingie haswa. Mtandaoni kuna kusoma pia, sikukuu njema.
Anasita kwa sababu kiongozi wa Senate keshadeclare wazi kabisa kwamba ataside upande wa Trump maana kwake yeye hii ni issue ya kisiasa zaidi. Democrats wapo wanaangalia other legal means za kumbanaHapa hakuna impeachment yeyote, its nothing but abuse of powers by democratics, the demo could establish a prima facie case against trump, na ndio pelosi anasita sita kupeleka mambo senate
Democratic Party hawana sauti na Nguvu huko senate.Republicans are the majority na leader wa senate ni conservative.Wakupokea tu hizo karatasi wanapiga Kurt hao sanators waendelee na case au hamna case .100 percent republicans watatupilia MbaliAnasita kwa sababu kiongozi wa Senate keshadeclare wazi kabisa kwamba ataside upande wa Trump maana kwake yeye hii ni issue ya kisiasa zaidi. Democrats wapo wanaangalia other legal means za kumbana
Huo ndio mwisho wa mbinu na haraka zao wamekimbia weee,hadi mwisho wa dunia sasa wanataka walazimishe sanate waitwe mashahidi Republkicans wanasema hakuna kitu kama hicho na wanaona wakipeleka hiyo hukumu ambayo 100%itapigwa chini wanaona watakuwa wamejimaliza wapiga kura wao watawaambia nini?kazi wanayo.Anasita kwa sababu kiongozi wa Senate keshadeclare wazi kabisa kwamba ataside upande wa Trump maana kwake yeye hii ni issue ya kisiasa zaidi. Democrats wapo wanaangalia other legal means za kumbana
Pelosi anafahamu fika huko senate wataangukia pua hivyo anavuta muda tu na kujaribu kutafuta mbinu mbadala (Kama zipo?) za kumbana Trump ila huyo Bibi anahangaika tu.Democratic Party hawana sauti na Nguvu huko senate.Republicans are the majority na leader wa senate ni conservative.Wakupokea tu hizo karatasi wanapiga Kurt hao sanators waendelee na case au hamna case .100 percent republicans watatupilia Mbali
Why so serious?We dada na kuishi huko ulivyoandika humu unaishi, umetoka kapa kuelewa kimombo?
Unatia aibu, Kiswahili kizuri jivunie
Unaelewa imoeachment ni nini?Well habari ndio hiyo He is not impeached
Anachanganya process ya impeachment na process ya removal from office.Mkuu Natalia,
With due respect, Donald J. Trump has already been impeached. The only thing iliyobaki ni kum-remove from office kitu ambacho lazima wafungue kesi kwenye Senate kwa kupeleka hizo articles of impeachment ambazo zitaeleza makosa aliyoyafanya. Kama Senate ikimkuta na hatia ndio atatolewa ofisini.
Kuna tofauti kati ya impeachment na removal from office. Impeachment inafanywa na Congress (imeshafanyika) ila removal from office inatakiwa kufanywa na Senate (bado haijafanyika).
Hata hivyo, kumtoa Trump ofisini kwa wakati huu haitawezekana kutokana na wingi wa Republicans kwenye Senate, na huu mchakato umeshakuwa wa kivyama.
So, President Donald Trump has been impeached but it is highly unlikely that he will be removed from the office.