Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema itakuwa kosa kubwa sana Rais wa FIFA, Gianni Infantino akiondolewa madarakani, na kwamba huenda michuano ya Kombe la Dunia haitofanikiwa iwapo ataondolewa.
Kumekuwa na shinikizo la kumtaka Infantino aondolewe kufuatia kukwama kwa mpango wake wa kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi kwenye michuano ya Kombe la Dunia.
==============
U.S. President Donald Trump publicly defended embattled FIFA President Gianni Infantino, stating on Truth Social that replacing him would be a "terrible mistake". The support comes as Infantino faces intense pressure and calls for resignation from major soccer confederations, including UEFA, Concacaf, and the AFC, following controversies over World Cup investment plans.
Hisia zangu ziko kama zako, Trump hana rafiki bila pesa, "follow the money" theory.
Trump alivyokemea Red card ya mchezaji wa Marekani kwenye wedikapu, Infantino alirespond haraka sana nikajua kuwa anazo siri nyingi za Infantino, maana hata yule refferee aliyemwita corrupt alikaa kimya.
Kwa hiyo Trump anajua udhaifu wa Giani Infantino.