Wakuu
Hili leo lazima tujiulize, Trump kasema Afrika kuna fursa nyingi za biashara na rafiki zake wengi wanakuja huku na kutajirika.
Lakini humu tu kuna thread nyingi za kushauriana jinsi ya kuiacha Afrika na kwenda Amerika au Ulaya, ndio maana kwenye nchi zao sisi ni kama vituko kwa kweli tujitafakari upya katika hili.